Tanga... Kunani pale.?

Hapana labda Tanga ya leo... Sio ya Zama zetu mpaka hivi karibuni... Rekodi ya hizi shule inaheshimika mpaka nje ya Tanzania
Magamba boys (shule yangu)
KIFUNGILO girls
Mazinde juu
Soni seminary
Tanga school
Popatilal
Korogwe girls
Etc

Soni seminary nlisoma hapo, wako vizuri
 
kama wana Tanga katu sio jukumu letu kujua huyu katoka wapi , tunachofahamu wazazi wake wanaipenda na kuiamini Tanga kuliko sehemu yeyote ndio maana akawaleta shule Tanga , na heshima inabaki TANGA
kama hilo hulioni basi!
 
Hii inaleta mwanga. Sharti la VC na ma DVC kuwa professors ni muhimu. Wasije kuweka wake zao.
 
Tanga na elimu wapi na wapi mgosi!
Naanglia pia matokeo ya kidato cha sita, shule ya Eckernforde iko kwenye kumi za mwisho
Ww unatafuta makofi hata ya kuazima...!!!

Historia ya Elimu kwa Tanganyika,ilianza Tanga

Fuatilia vzr,acha kuwa mfano wa chura
 
Kama mtarejea mada yetu ya jana kuhusu SEKOMU,hapo nimejaribu kushare baadhi ya evidence kuonyesha kuwa wakuu bado hawataki kutazama tatizo lililopo kwa uhalisia wake,instead ni kujibizana na vijana kama hivyo. Huyo Mgani alikua staff member kama mimi kwa hiyo ana machungu bcz anafahamu mambo yalivyoenda
 
Kihiyo halaf potential!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…