Tanga... Kunani pale.?

Nadhani ni same case inayoisumbua SMMUCo ile ya Moshi, Lutherani wa hizi sehemu mbili wajifunze kutoka kwa watu wa Iringa University wawaulize wao waliwezaje kujenga taasisi iliyosimama imara.
 
Kilichofanyika Tanga kimefanyika Tanga , hayo ya sijui katoka wapi sio tatizo, muhimu mazingira ya kielimu yapo Tanga ndio maana wazazi wanapeleka watoto wao
Kibafanyikia Tanga alafu hakibaki Tanga...
 
Endeleeni kujivunia mapenzi.
 
Uko sahihi lakini hicho ndio kilichotokea SECOM
Sio kwamba serikali ilitaka kuwapangia mtu, ila Kuna sheria mpya ya TCU inataka vice councilor lazima awe professor, pamoja na DVC ARC na DVC PFA.Aneth Munga ni doctor sio professor, kuchelewa kwa Mama Munga kuachia ngazi ndio ilisababisha chuo kuzuiwa kudahili 2017/2018.

Alipoachia ngazi ndio professor Kihiyo akawa V.C, huku professor Bagandashwa na Kihiyo wakiwa ma DVC.

Kilichofanya SEKOMU ifungiwe ni kwamba chuo kilishindwa kujiendesha.Trust me SEKOMU ni chuo ambacho serikali ilikuwa haitaki kukifunga kabisa, kwa mambo yaliyokuwa yakiendelea pale ingekuwa chuo kingine kingeshafungwa zamani Sana.Ilikuwa ni ngumu SEKOMU kuifungia kwa sababu, kuifungia hicho chuo ni kuua elimu maalumu ambapo kwenye elimu maalumu kwa starndard za SEKOMU kilikuwa kinaongoza Afrika mashariki na Kati.

Kuna mambo mengi yalikuwapo pale mpaka malecture waligoma na wanafunzi kuandamana.Ngoja niishie hapa.
 
Unaweza ukawa sahhi, lakini kuna Shehoza? Shemkande?Shekigenda? nadhani umenielewa!
 
Natambua matatizo yalianzia kwa mama Munga ambaye ni jipu lililovia... Kuna siasa pia ndani yake lakini ithibati kwenye hili ni nusu... Ulichokuwa unaeleza kinaweza kuwa ndio uhalisia.... Sijui kwanini umeamua kuishia njiani
 
Yeap am sekomu ex-product
 
Kwa kweli tuliandamana na Mimi ni mmoja wapo
 
Hao wote hakuna mzaliwa wa Tanga.Wamesomea tu huko.
Kama unafikiri kila sehemu wanafaulu wachukue kawasomeshe huko mkoani kwako , lakini kinachofanyika Tanga iwe kizuri au kibaya mzigo huo wanabeba wana Tanga , acheni wivu mazuri ya Tanga myapokee kama mnavyo yapokee mabaya ya Tanga ,
 
Tanga inakwamishwa na mengi. Askofu wangu Munga anaiangusha SECOM.

Niendelee au niishie hapa...?
 
Unaweza ukawa sahhi, lakini kuna Shehoza? Shemkande?Shekigenda? nadhani umenielewa!
kama wana Tanga katu sio jukumu letu kujua huyu katoka wapi , tunachofahamu wazazi wake wanaipenda na kuiamini Tanga kuliko sehemu yeyote ndio maana akawaleta shule Tanga , na heshima inabaki TANGA
 
Munga Munga chonde chonde kinusuru hicho chuo haraka Sana kwa manufaa ya watanzania wote.

Mlikua juu sana kwenye suala la elimu maalum hakuna ubishi ila naona AMUCTA Tabora wanakuja kwa Kasi.

Ebu wafikiri hao wakazi wa cost,bondeni na mshelemule nk na zile nyumba zao walizokua wanajenga ili wapangishe wanachuo.

Chuo chenu ni kizuri Sana na hata mazingira mazuri saana ila nikuombe tu fanya kila uwezalo ukirudishe chuo hata kama mna uchungu wa kukiachia kwa mtu mwingie kisa nyie ndio mliokianzisha ..kumbukeni kuna ukomo wa madaraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…