Tanga... Kunani pale.?

Na sasa mnataka kuimaliza Kaskazini, lakin soon mtaondoka
Na hiyo artificial city Chattle soon litakuwa boma la ng'ombe
Unajua shida ya JF wajuzi hawaongei mpo kimya,
Ila sasa wale wajanja mbele gizaaaa kila kitu wanajua
 
Hao wote hakuna mzaliwa wa Tanga.Wamesomea tu huko.
 
Umeandika kwa machungu sana kiongozi, umenikumbusha namna jinsi homu wana wanavyotaabika kwa kukosa mishemishe mpaka nimetoa machoni.
 
Ndio maana mzee baba anapotupia miradi chato inabidi tumuelewe tu.
 
Kwa anae isema Tanga haijui tanga na walio iua tanga Ni viongoz wa serikali wilaya Kwanza kuwa na umeme pangani tangani,tanga Ni industry area wakaviua vyote tanga haikutakiwa kuwa hv ilivyo.miundombinu ya tanga iko rafiki sana na elimu pia iko vizuri na kuhusu vinasaba kila sehemu vipo hvyo na kuhusu uchawi kila mahali upo.

Tanga Kuna kila kitu maisha murua kabisa.

Tanga Ni wakarimu sana tatizo lililokuwepo watu wamelishwa matango pori eti limbwata hakuna kitu kama hicho.watu wametoka balaa wakakarimiwa vizur wakaona tofaut ya bara na pwani.

Mtu katoka shamba kawekewa chakula katika mkeka analishwa huku nyimbo za mwambao sauti murua kabisa alafu unasema limbwata.

Mnyonge mnyonge lakin haki ya jiji la tanga ipeni.
 
Kuna watu wanaidharau Tanga aidha ni kutokujua au ni chuki binafsi ama ni watoto wa juzi
. Tanga ndio maeneo ya kwanza kabisa Tanganyika kuelimika na elimu hii ya mkoloni
. Tanga ndio mkoa pekee Tanzania ambao una mpangilio maalum wa barabara ambao mpaka leo hakuna mkoa wenye barabara kama hizo ambazo hazitambuliki kwa majina ya watu maarufu bali kwa namba.. Barabara ya 1- 21
. Tanga ndio mkoa naweza kusema wenye shule nyingi za sekondari zilizokuwa zinafanya vizuri sana kitaifa
Tanga ndio mkoa pekee Tanzania unatoa matunda na mboga mbali mbali kwa mwaka mzima misimu yote
. Tanga ndiko mapenzi yalikozaliwa
. Tanga ndio mkoa wa kwanza kuwa na viwanda vingi enzi hizo

Mada ilihusu kudorora kwa elimu Tanga lakini bado ikiwa imefanya vizuri.... Naona mjadala ukageuka kuwasema watu wa Tanga...
Ni Kama wakati ule shule za wakristo zilipokuwa zikiongoza kwa ufaulu watu wakapindua mjadala bila kuangalia kuwa zinazofaukisha ni shule za Kikristo lakini si wanafunzi wote walikuwa wakristo
 
Waja leo waondoka leo mwaya! Unga unatutosha.
 
Mamlaka haina mamlaka ya kuwateulia Mkuu was Chuo. Labda sijakuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…