Tanga... jamani nasema Tangaaa

usifananishe dubai na upuuzi wa tanga mkuu ua we ni mwanachama wa 071 maana barabara ya 9 mv nine ni mashoga watupu aua ufananishe znz na tanga mi nahis umerogwa usichezee na znz mambo ya foro k.koo bado hukwenda north coast kiwengwa au kendwa rocks
Tanga imejaaliwa acha unaa, kuanzia busara,lufudhi,hekima,ustaarabu,warembo(kumbuka wanawake kila sehem wapo ila tanga kuna warembo),vipaji, uaminifu, nk in short tanga ni tanga
 
Bado hujaona kitu Tanga kweli basi wewe ni kipofu mwenye macho, hujui njia wala vichochoro..Njoo tukuonyeshe...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…