Tanga ilistahili kuitwa jiji

Tanga ilistahili kuitwa jiji

Kweli ulikuwa wa kisiasa tuangalia vigezo katika kanda ya kaskazini tanga ndio mkoa mkubwa kuliko yote ya kanda ya kaskazini. lakini ndio mkoa maskini wa maendeleo na miradi ya serekali na taasisi za umma nasema bado viongozi walikuwepo tanga wa kiserekali ni tatizo kubwa


Wakati huo waziri wa TAMISEMI alikuwa Mzee Ngwiliza na pia Kigoda alikuwa na ushawishi mkubwa kwenye siasa za Tz ya Mzee Nkampa!!
 
  • Thanks
Reactions: Wun
Tanga kwa hakika ni jiji,na ni jiji lenye fursa nyingi za kibiasahara,madini ya kila aina yapo,ardhi safi kwa kilimo,ufugaji,uvuvi,maji yanayopatikana Massa 24,maji safi na salama,umeme wa uhakika,mahoteli ya uhakika,vivutio vya kitalii,viwanda,miundombinu ya uhakika,reli,bandari zipo,.Wageni kutoka Srilanka,Malaysia,Dubai,India,Singapore wapo Tanga kwa biashara ya madini,inashangaza wa Tanzania hawachangamkii fursa hizi,wanaminyana Dar,kwa mafoleni na msongamano.
Hakuna vurugu wala foleni,za Magari,Barabara ni nyingi za kuunganisha Barabara kuu.Popote uliko unaweza kwenda unakotaka kwa kutumia Barabara tofauti.
 
Kiukweli tanga haina sifa ya kua jiji,binafsi niliposkia imekua jiji nilistaajabu!
 
Ni upendeleo wa brigedia hassan ngwilizi wakati alipokuwa waziri TAMISEMI alifanya kila hila ili tanga nayo iwe jiji.yeye ni msambaa wa lushoto tanga.
 
Umbululula ndio unao wasumbua! Hiyo Dar unayoisifia Leo, wakati inapewa hadhi ya jiji unajua ilikuwaje? au ilifananaje? Unajua Mwanza ilikuwaje wakati inapewa hadhi ya jiji? Mwanza haikuwa na barara na maghorofa unayoyaona Leo. Maghorofa yako kuwa mawili tu, jengo la ccm mkoa na Bugando, barabara zilikuwa hovyo hadi wasanii wakaimba Mwanza zirekebishwe barabara. Kigezo kikubwa huwa ni idadi ya watu. Sasa we unaye shangaa Mi nikushangae kwa umbulula wako.
 
Dc Tanga ni Jembe la uhakika. RC tatizo mzigo, Dc Muheza,Lushoto,Mkinga,Pangani miroroso tuu. Msitegemee Tanga ya viwango. Tanga kila kitu kipo na kilipangwa ila wasimamizi wakuu ndio tatizo na wameishusha hadhi. Mbali na kufyagia na kutoza faini asiyefagia kila Jumamosi sh 50000 lkn jiji dorooo. Mchwa wakubwa wamejipanga watajirikie Tanga kwa kutumia ukarimu na upole wa watu watanga,(wanawita ma mwinyi.) Tanga ni jiji tokea tulipoagana na Mkoloni.
 
Wadau naomba mnijuze hivi ni vigezo gani hutumika kuipa hadhi halmashauri ya manispaa kuwa jiji.Naomba kuwasilisha

ujenzi holela...majiji yote tz ni miji ambayo 70% imejengwa kiholela
 
Back
Top Bottom