Hiyo ladha ya tui la nazi ndio inanikera kabisa.., nimejaribu kumpa paka wangu ndio akanywa kwa shida sana. Mimi sio nafagilia mtu hapa.., ila tanga fresh mjifunze kutoka kwa wenzenzenu na mboreshe ladha ya maziwa.

Utumwa kazi sana yanaitwaje hayo maziwa ulitumwa kuyatangaza!!!????
Mhh ulinunua wapi???
mbona mi nanunua sana ila hayana tatizo.
Pole
We endelea kunywa hilo tui la nazi.., we si ndie mwenye taste buds..Ndimi zenu wenyewe hazina taste buds za kueleweka afu mnasingizia Maziwa tanga fresh na ilo hamuwezi fanikiwa kamwe kuvunja soko lake coz yame prove kuwa na ubora wa kweli i may say indeed hakunaga km tanga fresh tanzania
We umezoea kupanda farasi.., nakwambia kunakitu kinaitwa gari jaribu kupanda uone tofauti.., we unanijibu Mbona hawa farasi napanda daily NA hawana shida yoyote....?, una akilifupi sana..mimi huwa nayanywa daily na hayana shida yoyote. ni mazuri sana. labda umechanganya na kilimanjaro
Just do a simple research nunua tanga fresh pakti moja na kisha nunua daily milk ya brookside pakti moja
then kunywa utajua choice gani is the best.
Ni mala ya kwanza unakunywa hayo maziwa na je, expiry date yake ilkkua haijafika? Maana mimi pia hua nakunywa sana hayo maziwa na nayapenda sana ladha yake
Hayo maziwa yana ladha ambayo si rafiki mdomoni,
Na harufu yake ni mbaya sana..
Mimi siyapendi hata kidogo.
Excorcist ni mbwa kutoka kenya anaipigia debe brookside. Nitakunywa Tanga fresh hata yatiwe sumu ya panya. Rudi kwenu kenya kama unaona vya kenya ni bora. Narudia tena wewe ni taxi bubu tu.
yale maziwa hayafai hata mimi juzi nimenunua,moro super market nilishangazwa na radha yake kama tui la nazi:A S confused:
natumia mobile ila naombeni apewe like kwa niaba yangu
Hiyo ladha ya tui la nazi ndio inanikera kabisa.., nimejaribu kumpa paka wangu ndio akanywa kwa shida sana. Mimi sio nafagilia mtu hapa.., ila tanga fresh mjifunze kutoka kwa wenzenzenu na mboreshe ladha ya maziwa.
amu hujambo, waja leo waondoka leo!
Huyu ---- hajui tanga fresh wametoa ajira.
Tukutane hapo ngamiani hospital
Huyu jamaa hana jipya, naona yupo katika kufanya matangazo, kwani alilazimishwa kununua hayo maziwa?Utumwa kazi sana yanaitwaje hayo maziwa ulitumwa kuyatangaza!!!????