Tanga eeh kunani pale!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
haahaaaahaa!!! ntaomba ushauri na ujuzi kwa mzee mwenzangu mshanajr
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji144] [emoji144] [emoji144]

Ndugu yangu huko acha kabisa.....huko hapajaribiwi.......

Mjomba alienda huko kujenga na kaacha familia kabisa....lakini ukawa ni utata.....baada ya kuona tunamsumbua kwenye simu akatupa kabisa na simu yenyewe.......
Mpaka leo yupo huko huko....sasa hivi na yeye anavaa misuli kama ana busha na fimbi kataftiwa.......

Wanandugu tuliwahi kumfuata kwa nguvu...na tukafanikiwa kumpandisha gari hadi nyumbani....tulipofika stendi ya nyumbani akaomba aende kununua vocha....kumbe ndio kakimbia tena karudi huko huko Tanga(Digo)

Wanandugu tukaamua kuachana na suala lake kwa maana limeshakuwa gumu....kwa kuwa tumeshajua mahali alipo basi.....
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kaka umenivunja mbavu hapa nilipo lakini in reality Tanga hapafai
 
Haha mpwaaaaaaa
 
Tanga raha, maeneo ya pongwe, mwakidila, mwahako, duga, chumbageni, msambweni na maeneo mengine kibaooo....
upate mchuchu aliyepitia unyagoni ambaye amehitimu mizungu yote 12
 
Tanga raha, maeneo ya pongwe, mwakidila, mwahako, duga, chumbageni, msambweni na maeneo mengine kibaooo....
upate mchuchu aliyepitia unyagoni ambaye amehitimu mizungu yote 12
[emoji23] [emoji23] [emoji23] poleni Tanga
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…