Ninatamani nisisikie kuna aliyeumiaWasalaam, mwenye ndugu huko afatilie.
Ajali zimepungua ila gazijaishajamani nilidhani vidhibiti mwendo vinapunguza ajali but bado mabasi yanadondoka
Amen naona km watu wamefunikwa ngoja tusubiri picha zaidiOoh! May God saves them
Kabisa yanAmen naona km watu wamefunikwa ngoja tusubiri picha zaidi
Toa idadi ya walioumia au kama kuna waliofariki boss!Wasalaam, mwenye ndugu huko afatilie.
Nimepata hapo punde nipo kwenye gari dogo, nikaona niwafahamishe tulichokiona with 2 eyesToa idadi ya walioumia au kama kuna waliofariki boss!
Habari picha haijakamilika
Lilikua likitokea wapi