Tanga: Basi la Kilimanjaro lapata ajali Mkata

Tanga: Basi la Kilimanjaro lapata ajali Mkata

Nimemshangaa sana anapoongelea kuchonga basi anahisi kuna mabasi yanazaliwa tu bila kuchongwa... Na akumbuke hapo inaonekana kabisa hiyo hiyo ni Scania Marcopolo.. Sasa sijui huku kwetu kiwanda cha kuchonga hilo bodi kimeanza lini! Ni ujuaji mwingi hadi aibu
Nimeachana na hii thread kwa sababu kuna watu inaonekana wana maslahi binafsi ya kutengeneza hizo body au na wao wanabasi.

Lakini trust mwenye hayo mabasi nilikuwa namjua vizuri sana miaka ya nyuma ni tajiri mmoja simple ambae alikuwa akinielezea vizuri sana kuhusu hiyo shughuli mi mwenyewe nilikuwa namtamfutia matanker ya maziwa na kumpeleka kununua akabebe mafuta Tanzania inaruhusiwa. Maana ya mafuta yenyewe bei zake alikuwa anaziogopa.

Ndio maana naona niachane na sina sababu ya kujibizana isitoshe mimi nilikuwa naangalia in terms of science nyie mnaongelea maswala ya mabodi tu; halafu lengo si kuleta ujuaji ni kuulizana stability ya hayo mabasi barabarani yanapokuwa speed, that is important in physics.
 
jidanganye.. yard yao iko mikochen hapo... nenda hata sasa hv utakuta yapo wanaunda
Inawezekana lakini sio hilo kwenye picha... Hilo gari bodi yake ni msouth na haina mabati mengi kama mabodi mengine, hiyo imetumika fiber ndo maana unaona limefanya kunyofoka vipande
 
Nimeachana na hii thread kwa sababu kuna watu inaonekana wana maslahi binafsi ya kutengeneza hizo body au na wao wanabasi.

Lakini trust mwenye hayo mabasi nilikuwa namjua vizuri sana miaka ya nyuma ni tajiri mmoja simple ambae alikuwa akinielezea vizuri sana kuhusu hiyo shughuli mi mwenyewe nilikuwa namtamfutia matanker ya maziwa na kumpeleka kununua akabebe mafuta Tanzania inaruhusiwa. Maana ya mafuta yenyewe bei zake alikuwa anaziogopa.

Ndio maana naona niachane na sina sababu ya kujibizana isitoshe mimi nilikuwa naangalia in terms of science nyie mnaongelea maswala ya mabodi tu; halafu lengo si kuleta ujuaji ni kuulizana stability ya hayo mabasi barabarani yanapokuwa speed, that is important in physics.
Uko sahihi sana.. Ila nilichopinga ni hilo basi kwenye picha kuwa lilikuwa lori coz hiyo ni Scania 94 bodi Marcopolo hakuna mwenye uwezo wa kuchonga hilo bodi bongo yetu hii... Hilo ni fiber tupu halina mabati ya alminium kama mabodi ya dar coac
 
Kwenye page hiyo hiyo uliyo ni quote mara ya kwanza nilipokoselewa kuwa hiyo iliyopinduka ni original body na mjuaji mmoja nilikubali.
 
hivi mtu gani anashindwa kuelewa barabara inateleza wakati wa mvua? NI mtoto mdogo tu ndiyo hajui.nashauri wenye mabasi wafanyiwe uchunguzi ni aina gani ya madereva wanawaajiri na wenye mabasi wabebeshwe lawama na kufungiwa kutoa huduma pamoja na dereva kufungwa maisha. Niliwahi kuchangia siku chache zilizopita kuhusu ajali za mabasi. Miezi kadhaa iliyopita mimi na abiria wenzangu Mungu alituokoa na ajali maeneo ya gairo usiku saa 5 ndani ya Dar lux ya Mwanza to Dar mvua ikinyesha gari iliteleza ikayumba Kushoto na kulia mara kadhaa. Nikachukua jukumu la kumfuata dereva mbele kugombana nae akasimamisha gari kujitetea. Nikashangazwa kuona Nipo peke yangu abiria wenzangu wapo kama mazombi wamekaa kimya wachache walimtetea dreva.chanzo cha Mwendo kasi kwenye mabasi ni mashindano ya Nani atamuongoza mwenzake
 
Back
Top Bottom