Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,346
- 9,846
Hamna casualties?Nimepata hapo punde nipo kwenye gari dogo, nikaona niwafahamishe tulichokiona with 2 eyes
Hamna casualties?Nimepata hapo punde nipo kwenye gari dogo, nikaona niwafahamishe tulichokiona with 2 eyes
Halafu wafike mwaka kesho wanakokwenda sio?Halafu mvua hizi kunakuwa na utelezi ,
Kwanini wasiende mwendo wa usalama hata 50KPH walau inakuwa na usalama au chini ya hapo ni salama zaidi
Speed ya 80 kph siyo ndogo kwenye ajali. Naona utelezi au issue ya overtaking then katumbukia darajani. Ajali zipo na zitaendelwa kuwepo. Halafu leo Jumapili mabasi yanajiachiaga sana.jamani nilidhani vidhibiti mwendo vinapunguza ajali but bado mabasi yanadondoka
Ila tuna ahueni mkuu maana siku za nyuma ilikuwa kila siku polisi waongeze bidiijamani nilidhani vidhibiti mwendo vinapunguza ajali but bado mabasi yanadondoka
Ninatamani nisisikie kuna aliyeumia
Kwa hili hapana. Ni Scania tena Marcopollo mkuu. Ajali ni ajali. Uzembe kidogo tu ni kasheshe. Either alikwepa mtu anaovertake au yeye mwenyewe aliovertake. Au kafunga brake za ghafla na lami imelowana na mvuaMabasi yenyewe ambayo mengi wamiliki wanunua malori kwanza ya 7.5 tonnes yaliyotumika wanachukua chassis na kutengeneza bodi wao wenyewe halafu dereva anataka awakimbize njiani, ni kama suicide mission tu. You hope hakuna aliepoteza maisha
Ajali zimepungua ila gazijaisha
Inaweza kuwa hilo Scania la kweli, hila mimi binafsi miaka ya nyuma nishampeleka Sawaya (mmiliki wa kilimanjaro) alipokuja kijijini kwetu kwenda kununua malori ambayo anampango wa kuyageuza mabasi.Kwa hili hapana. Ni Scania tena Mrcopollo mkuu. Ajali ni ajali. Uzembe kidogo tu ni kasheshe. Either alikwepa mtu anaovertake au yeye mwenyewe aliovertake. Au kafunga brake za ghafla na lami imelowana na mvua
Sasa kwa nini hukumshauri asifanye hivyo?Inaweza kuwa hilo Scania la kweli, hila mimi binafsi miaka ya nyuma nishampeleka Sawaya (mmiliki wa kilimanjaro) alipokuja kijijini kwetu kwenda kununua malori ambayo anampango wa kuyageuza mabasi.
Ni jukumu la serikari kuakikisha abiria wanapanda vyombo vilivyo roadworthy sio mimi.Sasa kwa nini hukumshauri asifanye hivyo?
Hii ndyo sababu ya ajari au unataka kujifanya mjuaji!Mabasi yenyewe ambayo mengi wamiliki wanunua malori kwanza ya 7.5 tonnes yaliyotumika wanachukua chassis na kutengeneza bodi wao wenyewe halafu dereva anataka awakimbize njiani, ni kama suicide mission tu. You hope hakuna aliepoteza maisha