Mmh hadi dakika hii hakuna aliyeongelea kama abiria wametoka kwenye gari au bado na wenyewe wako upside down kama basi?
Inaonekana tairi zimeisha kwa mbali (kipara), mvua kubwa lami imelowana, kama kuna gari ilimwaga oil kwenye lami halafu dereva alikuwa speed tuseme alikuwa ana overtake au anakwepa kitu, speed, kuisha tairi, uterezi gari ikavutwa pembeni.....
Jamani hapo hazisikiki sauti za abiria kuomba msaada? Hata sauti za watoto wakilia?
Tuna ndugu, jamaa na marafiki wanasafiri kila leo kwenda Moshi na kurudi.... Tunaomba taarifa tafadhali kuhusu abiria hapa roho juu....
Kilimanjaro na Da r Express ni magari pendwa. Japo siku hizi kuna Marangu Coach... Ikitokea nikakosa ndege basi Marangu inahusika.