Tanga: BAKWATA yagonga Mwamba Idd yafanyika leo

Ndugu zangu
Huwa nawaelewa kwenye mengi sana, msiba na mazishi, mahari na ndoa, stara na nidhamu ya mabinti, mapishi na mengine kedekede..

Ila kwenye hili la miandamo ya mwezi na kauli za mamuft hapa ndo mnanichanganyaga sana.

Mwaka jana ilikua siku ya idd kabisa, watu wakaamshwa na swaumu, leo tena yaleyale, wengine wameswali leo na wengine wapo na swaumu, na wote ni wasunni.
 
Naona jinsi gani waislamu wenyewe wanazodoana mara njaa mara wana penda kula πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mambo ya kuletewa yatawashinda tu. Na bila shaka hao ni answari maana hata hapa nilipo leo wanafanya sherehe wenye dini ya haki naona dini yenu inajikanganya yenyewe kwa waarabu watu wanaupiga kwa nyie wamatumbi subirini shehe mkuu aseme asiposema mtajuta kuzaliwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kabla ya utandawazi haujaenea mambo haya hayakuwepo, waislam wote waliswali pamoja bila kujali madhehebu yao. Lakini sasa wengine ni wafuasi wa Saudi Arabia na wengine ni wafuasi wa Iran hivyo imekuwa fujo tupu!
 
Mufti akiamua wanaendelea Hawa kesho,chezea Mufti wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…