TANESCO yatangaza mgawo wa umeme

Du zsizani kama tutafika kwa mwendo huu.Tanzania yenye neema haipo kabisa
WATU wanatoa mawazo mazuri sana ila wakuyafanyia kazi ambaye ni serikali naona kama hawapo.

Hatimaye wametimiza walichozamiria,masikini mtanzania ukisia mbele kamba nyuma kibokjo ndio hii.
 
Safi sana. Ninawajulisha TANESCO ili tuone jinsi ya kutatua tatizo la Mwanza kwanza. PM address details zako na za huyo President wenu. Nakutana na TANESCO next week kwenye kamati kupitia hesabu zao na kupata maelezo ya madhara ya ule mgawo wa mwanzo. Naomba hizo details haraka tafadhali tuokoe nchi yetu.

Katika hali ya kawaida inachukua mwaka, katika hii ambayo watu wamecancel order inachukua muda gani kufunga na kuwasha?
Mkuu Zitto,
Ur not serious!.. are You?
Mkuu tulikwambia toka siku zile kwamba mitambo ipo na sii GE peke yake mipya na kukukuu maadam wapeni kazi vijana wataifanya..Mimi binafsi nilikwambia pia kabla na baada ya mgogoro wa Dowans...nimeandika humu humu JF iweje leo somo tunarudia kule tulikotoka?..

Acha mbali kwamba Lowassa alipotembelea hapa (hatukuonana naye alikwenda Mexico badala ya kukutana na Watanzania)niliwajulisha baadhi ya viongozi walioandamana na msafara wake, lakini Richmond ilikuwa ndio somo na hakuna upinzani.
Sasa nenda kawaone hao Tanesco wambie vijana wapo tayari kisha rudisha kazi hiyo hapa JF utaona uwezo wa vijana mnapowapa kazi ya taifa...
Binafsi siwezi kwenda ovyo kutafuta mitambo kisha majibu yenu yawe yale yale tunaonekana wajinga na matapeli.. ongea na Tanesco watupe go ahead, contact zao hata iwe kupitia kwako tutaifanya kazi tena haraka kuliko mtakavyo fikiria.

Kisha gharama ya ujenzi haiwezi kuwa kubwa kwa sababu ile mitambo ya Richmond/Dowans tayari ilikwisha jengewa na kufanya kazi hivyo chochote mtakachonunua kitawekwa pale ilipokuwa mitambo ya Dowans au sio!.
 
Last edited:
Tunacho hoji siyo yanayotokea leo..... ni uzembe wa muda mrefu. Wewe kama unafikiri unaelewa zaidi mambo ya uendeshaji wa mashirika kama ilivyo tanesco...nadhani unakosea na wala hujui taaluma za kila member wa JF. Unasema mitambo inafanya kazi 24hrs bila kupumzishwa.......mitambo za ziada (standby..),....who should do that? Kazi ya tanesco ni nini?

Unasema wabongo wanapenda kupindisha mambo.....kk mjadala huu ni nini kimepindishwa?? Jaribu kutumia akili kabla huja bandika ujinga wako humu.

bwana magezi ebu toa analysis yako kuhusu Tanesco in detailed, may be I'm missing something..... naomba nipe ujanja wako ku-prove ujingwa wangu....lakini bado naamini siasa kwa kiasi kikubwa zimechangia shirika kuyumba, juzi juzi tu kamati mbili za bunge zilikwa zinavutana kuhusu nunuzi wa mitambo ya DW, lakini baada ya wanasiasa na vyombo vya habari kuja juu, Tanesco wakanywea...aidha wakati richmond inazungumziwa kuletwa bongo nguvu za siasa zili prevail over zile za Tanesco...kuna huyu Mh Zitto baada ya kuwaunga mkono Tanesco, knini ilitokea, kama siyo kudai kala rushwa? nadhani mapendekezo yake yali base kwenye analysis ya kitaaluma iliyotolewa na Tanesco, hao waliopinga mbona hawakutua ufumbuzi mbadala na waharaka kutatua hilo tatizo,...sasa hapa ni nani wanaochangia kulididimiza shirika? ....kwa kete hiyo hiyo, wafanyakazi wa TRL wameonesha kuwa wanaweza fufua injini, nadhani umefika wakati taaluma ichukue mkondo wake
 
Mkuu Zitto,
Ur not serious!.. are You?
Mkuu tulikwambia toka siku zile kwamba mitambo ipo na sii GE peke yake mipya na kukukuu maadam wapeni kazi vijana wataifanya..Mimi binafsi nilikwambia pia kabla na baada ya mgogoro wa Dowans...nimeandika humu humu JF iweje leo somo tunarudia kule tulikotoka?..

Acha mbali kwamba Lowassa alipotembelea hapa (hatukuonana naye alikwenda Mexico badala ya kukutana na Watanzania)niliwajulisha baadhi ya viongozi walioandamana na msafara wake, lakini Richmond ilikuwa ndio somo na hakuna upinzani.
Sasa nenda kawaone hao Tanesco wambie vijana wapo tayari kisha rudisha kazi hiyo hapa JF utaona uwezo wa vijana mnapowapa kazi ya taifa...
Binafsi siwezi kwenda ovyo kutafuta mitambo kisha majibu yenu yawe yale yale tunaonekana wajinga na matapeli.. ongea na Tanesco watupe go ahead, contact zao hata iwe kupitia kwako tutaifanya kazi tena haraka kuliko mtakavyo fikiria.

Kisha gharama ya ujenzi haiwezi kuwa kubwa kwa sababu ile mitambo ya Richmond/Dowans tayari ilikwisha jengewa na kufanya kazi hivyo chochote mtakachonunua kitawekwa pale ilipokuwa mitambo ya Dowans au sio!.

Brother,
Nadhani unajua taratibu za serikali hazitaki ivo. Zabuni inatangazwa na kisha inafanyiwa tathmini na ndio mshindi anatangazwa. Mpaka sijui kama GE waliomba TANESCO walipotangaza zabuni hii. Ninyi mlipaswa kuwajulisha wazalishaji mara baada ya kuona tangazo la zabuni. Mkandara ulipaswa kuwa proactive na sio kusubiri kuja hapa kulalama. Hivi ulifanya nini baada ya zabuni kutangazwa? Hivi sasa kuna mgawo, sheria sasa inatoa lee way ya udharura na hapo ndipo tu TANESCO wanaweza kushop na kupata 3 quotations na kisha kununua.

Ujenzi wa mtambo kaka ujue kuna 100MW unaotakiwa Dar kwa haraka na 60MW unaotakiwa Mwanza haraka. Huo wa Dar unaweza kuwekwa pale ilipokuwapo ya Dowans na kufanya marekebisho fulani fulani. Lakini pia ni lazima TANESCO ipate eneo lingi la mbali kujenga na kuweka mitambo hii kwani pollution imekuwa too much Ubungo.

TANESCO wametimiza wajibu wao kwa upande wao licha ya mapungufu yao. Lakini na sisi tutimize wajibu wetu kaka na sio kusubiri mambo yaharibike tuje kuleta lawama hapa.

Mpaka hapa tunapozungumza TANESCO hawajapata pesa za kununua hiyo mitambo kutoka serikalini na wametoa tahadhari zote na kuweka wazi mipango yote ya muda mfupi, wa kati na mrefu.

Ikumbukwe tena, narudia, mikataba yote ya kifisadi ambayo imeingiwa katika sekta ya Nishati iliingiwa kwa shinikizo la Serikali na sio TANESCO. Uongozi wa sasa wa TANESCO haujaingia mkataba wowote wa nishati isipokuwa umevunja mkataba mmoja, ule wa Dowans, baada ya kupata legal opinion kutoka Rex Attorneys.

Uongozi wa sasa umesafisha vitabu vya TANESCO na kupunguza sana hasara na sasa Shirika linaelekea kupata faida kwa mara ya kwanza. Mgawo huu utaathiri sana mapato ya shirika na hata kutia wasiwasi uwezo wa shirika kulipa deni lake kwa taasisi za fedha - kitu ambacho kitatuma bad message to the financial sector!
 
Mkuu Zitto, nimekuelewa lakini umesema mengi sana hapa swali linabaki pale pale kuwa kwanini matatizo haya hayaishi Tanesco na mipango yote hiyo toka serikalini??
 
Kweli kwa mtu mwenye akili ukijiuliza unashindwa kuelewa. Ni nini kinatendeka pale tanesco, miaka yote wapo wahandisi, wanansheria, mameneja, mafundi wazuri tu lakini ni aibu tupu.

Lakini chanzo cha yote ni serikali kuingilia maamuza ya menejimenti za tanesco kwa muda mrefu. Kesi ya IPTL ni serikali, richmond ni serikali, songas japo wanajikongoja lakini ni serikali kwa hiyo ni lazima tufike mahali siasa ikae pembeni.

Mimi kila mara namuuliza ngeleja, ni kwa nini asitangaze wafanyabiashara/makampuni makubwa yaje yawekeze mitambo yao ya kuzalisha na kusambaza umeme wenyewe na walipe kodi kama ktk biashara nyingine!!! Lakini ni kimya tu, oh... mara tunamikakati...oh mara tuna mgao utakuwa historia......na upuuzi mwingine mwingi.

Hata kama hii ni justification ya kununua mitambo ya Dowans, still siyo suluhisho la matatizo ya umeme tanzania. Niliwahi kutoa mfano kwamba mtu/kampuni inaweza ikapewa wilaya au hata mkoa mzima izalishe na isambaze umeme na kukusanya mapato kutoka kwa watumiaji, then ilipe kodi serikalini. Sijui viongozi wa serikali wana nini kichwani, alafu mtu anakurupuka anasema Ngeleja ni waziri kijana?? kijana gani hana vision??[/QUOTE]

Waziri kijana team ya RA, kawekwa ili asaidie kunyonya na kurahisisha maslahi ya mafisadi. Kuna siku anahojiwa na Star TV anasema mji wa Kahama umendela kwa sababu ya wawekezaji wa madini alininifua sana, Kahama haijaendelea kwa chochote kutokana na wawekezaji, kwani kilichoogezeka Kahama ni mrundikano wa watu wasio na kazi walifika kwa matumani ya kupata kazi baadaye wanageuka kuwa majambazo baada ya kukosa kazi na ongezeka la malaya wauza miili. Barabara Kahama zimechoka, hospital ya toka mkoloni haijapanuliwa na kuongezaw ward hata moja
 
Brother,
Nadhani unajua taratibu za serikali hazitaki ivo. Zabuni inatangazwa na kisha inafanyiwa tathmini na ndio mshindi anatangazwa. Mpaka sijui kama GE waliomba TANESCO walipotangaza zabuni hii. Ninyi mlipaswa kuwajulisha wazalishaji mara baada ya kuona tangazo la zabuni. Mkandara ulipaswa kuwa proactive na sio kusubiri kuja hapa kulalama. Hivi ulifanya nini baada ya zabuni kutangazwa? Hivi sasa kuna mgawo, sheria sasa inatoa lee way ya udharura na hapo ndipo tu TANESCO wanaweza kushop na kupata 3 quotations na kisha kununua.

Ujenzi wa mtambo kaka ujue kuna 100MW unaotakiwa Dar kwa haraka na 60MW unaotakiwa Mwanza haraka. Huo wa Dar unaweza kuwekwa pale ilipokuwapo ya Dowans na kufanya marekebisho fulani fulani. Lakini pia ni lazima TANESCO ipate eneo lingi la mbali kujenga na kuweka mitambo hii kwani pollution imekuwa too much Ubungo.

TANESCO wametimiza wajibu wao kwa upande wao licha ya mapungufu yao. Lakini na sisi tutimize wajibu wetu kaka na sio kusubiri mambo yaharibike tuje kuleta lawama hapa.

Mpaka hapa tunapozungumza TANESCO hawajapata pesa za kununua hiyo mitambo kutoka serikalini na wametoa tahadhari zote na kuweka wazi mipango yote ya muda mfupi, wa kati na mrefu.

Ikumbukwe tena, narudia, mikataba yote ya kifisadi ambayo imeingiwa katika sekta ya Nishati iliingiwa kwa shinikizo la Serikali na sio TANESCO. Uongozi wa sasa wa TANESCO haujaingia mkataba wowote wa nishati isipokuwa umevunja mkataba mmoja, ule wa Dowans, baada ya kupata legal opinion kutoka Rex Attorneys.

Uongozi wa sasa umesafisha vitabu vya TANESCO na kupunguza sana hasara na sasa Shirika linaelekea kupata faida kwa mara ya kwanza. Mgawo huu utaathiri sana mapato ya shirika na hata kutia wasiwasi uwezo wa shirika kulipa deni lake kwa taasisi za fedha - kitu ambacho kitatuma bad message to the financial sector!
Zitto,
Umejiingiza sana kwenye masuala ya TANESCO kuliko shirika jingine lolote la UMMA. Hii ni hatari kwako kwani wewe unaongea na MENEJIMENTI tu, undani hasa wa shirika lile hauujui. Iachie Bodi ya TANESCO ifanye kazi yake. Ufisadi uliomo ndani ya TANESCO hakuna siku litakaa litengeneze faida!
 
Hamna cha Zitto kukumbukwa ni ufisidi ktk fikra zetu watanzania. Nadhani ripoti ya kamati ya bunge ya RICHMOND ilichofanya licha ya kuyaona na kuyasema yaliyojiri katika ule mkataba. Pia ilijaribu na ikasema nn kifanyike ili adha iliyotupata isitokee. Je TANESCO imefanya hata moja ya yale yaliyopendekezwa? Kunani mpaka tuone kununua mitamdo ya Dowans ndio suluhisho la matatizo ya umeme Tanzania. Tuache siasa uchwara turudi kwenye misingi halisi ya kutatua matatizo na sio kwenda kimkatomkato. Hatutafika
 
Ukweli unabaki pale pale kuwa licha ya Kamati mpka EL anajiuzulu lakini matatizo kibao ya umeme tena Tanzania,
 
Wakati yote haya yakitokea, watu hawaoni uhusiano wake na uongozi mbovu wa kisiasa chini ya CCM. Inasikitisha!
 
Zitto,
Nadhani unajua taratibu za serikali hazitaki ivo. Zabuni inatangazwa na kisha inafanyiwa tathmini na ndio mshindi anatangazwa. Mpaka sijui kama GE waliomba TANESCO walipotangaza zabuni hii. Ninyi mlipaswa kuwajulisha wazalishaji mara baada ya kuona tangazo la zabuni. Mkandara ulipaswa kuwa proactive na sio kusubiri kuja hapa kulalama. Hivi ulifanya nini baada ya zabuni kutangazwa? Hivi sasa kuna mgawo, sheria sasa inatoa lee way ya udharura na hapo ndipo tu TANESCO wanaweza kushop na kupata 3 quotations na kisha kununua.
Mkuu wangu, kwanza unaelewa uwezo wangu mimi mlalahoi inapokuja swala la tender.Sina uwezo wa hali na mali hivyo kunilaumu ati nilitakiwa kuwa proactive ktk tender ambayo kwa aslimia 100 unaelewa kingetokea kitu gani...Kumlaumu mtu yeyote leo hii baada ya kuelewa kilichotokea wakati wa tender hiyo ni kuepa ukweli wa yale yanayotokea nyumbani... Hivi kweli ktk akili yako unafikiria mimi Mkandara ningeweza kupindisha tender aliyopewa Richmond yakakataliwa mashirika mengine kwa sifa gabi haswa!...

Pili, nadhani utakumbuka vizuri kwamba niliwahi kuandika hapa hapa JF kwamba hatuhitaji kuweka tender, mashirtika kama GE haliwezi kuingia ktk mashindano ya tender.. wao ni watengenezaji wa mitambo ambayo wewe mnunuzi unakwenda dukani na kutoa order yako.. mara nyingi utakuta mashirika kama haya wanauza franchize, hivyo kuwezesha kupanuka kwao kama vile unavyoona ma agent wa magari ya BMW, mahotel na kadhalika, hao ndio wanaweza kuingia ktk tender zinazotolewa... GE hana shida kabisa ya kuingia mradi wa kufua umeme wakati sisi ndiio walalahoi wenye shida tunaotafuta kujikwamua..

Naijuia vizuri nchi yangu na naelewa haikuhitaji kufanyika kwani sisi ndio tunaotembea uchi, leo tukatangaze tender hata hao FUBU waliofulia hawatakuja ila wachuuzi toka China wenye njaa kama sisi ndio watajitokeza..Haihitaji elimu ya chuo kikuu kuelewa kwamba tunajaribu kuiga vitu wakati sisi bado kabisa tunavaa mitumba ktk maendeleo, yaani hatufahamu kile tunachokihitaji.

Ebu nambie wewe iweje mnatoa tender ambayo mnatafuta mali bora kwa bei rahisi pasipo kuwa na taarifa kamili ya mali mnayoitafuta.. mathlan ukitaka kununua nguo dukani ni lazima uwe na hint fulani mathlkn Armani suit, kisha unapoita walanguzi unaitazama mali (nguo) hiyo kama ni Armani halali au feki na sii kuita wachuuzi wa nguo waje kujieleza wao wakati wewe huna idea kabisa ya utengenezaji wa nguo wala designer unayemhitaji..Huo Uimara itaujua vipi kwa kusoma maandishi yaliyochapishwa kiutaalam na mlanguzi?
Hata magari mnayoagiza hayo mashangingi siii mnajua fika ni gari gani mnaitaka? iweje ktk mitambo ya uzalishaji umeme mnaita walanguzi lama biashara ya Kariakoo..

Mkuu nashindwa kuelewa kwa nini tuliweka tender ikiwa sisi tunachotafuta ni kununua mtambo na sii shirika la kuendesha ufuaji umeme, hainingii akilini na sidhani kama viongozi wetu huwa wanaweka temder wanapotaka kununua hayo mashangingi. Majuzi wamenunua BMW za Ikulu sikuona tender kutafuta wachuuzi ila walikwenda BMW kwenyewe wakapewa agent anaye deal na nchi zetu iweje ktk swala zito kama la Umeme mnaweka tender..

Licha ya yote hayo mkuu wangu nizungumze mara ngapi?.. nasema tena niliwafuata viongozi waloandamana na Lowassa hapa, nikawambia uwezekano wa kupata mitambo kama hiyo kwa bei nafuu kabisa lakini Richmond ndio iliyopendekezwa na kusifiwa kwa kila hotuba ya viongozi wetu... Licha yangu kuna vijana kibao hapa walisema wazi kuhusiana na Richmond mara tu walipopewa tender na gharama ya mitambo yao inapatikana kwa bei gani mkawapuuza..Haya tazama swala la Dowans tulipiha kelele weee serikali imekuja kubali baafa ya kupata ushauri toka wapi?..Rex Attorneys... yaani kama sii hao wajomba tungeinunua kweli mitambo ya Dowans.
Leo hii imekuwa ni makosa yetu tena! mlitaka tuwe active kiasi gani ikiwa serikali yenyewe inawadharau vijana wake..
 
Last edited:
Haya yote yatajirudia tena na tena Tanzania, Sijui watu tuliowapa dhamana ya kutuongoza wanafanya nini??
 
Mkandara, you are a true partiot, na nimekusoma vyema mkuu!I believe that there is so much questions here that it is truly impossible to answer. But tukija katika suala la tender, masuala haya ni muhimu sana kuyajadili, kwani ni kweli uliyoyasema, tender hizi haziwezi kufuatiliwa na serious companies. Kama wanataka transparency basi inaweza kufanyika kwa njia nyingine kama vile kuweka wazi minutes za mkutano ambao utafanya maamuzi wa kununua GE generator etc. Lakini kusingizia eti tender ndo ilitumika kupata suppliers ni njia ya ulaji tu.
Mh Zitto, heshima zako zote, I have been a fan, but I think that now you are becoming part of the problem not the solution. Unapoikumbatia shirika kama TANESCO na kuitetea, na wewe uko katika oversight committe, basi naona kama vile huwajibiki. As part of a body that is supposed to oversee the activities of TANESCO, you cannot afford to get too close na kuja katika public forum na kuitetea. Just a kind word of advice, ndugu yangu.
 
huuu mgao ushaanza kuboa tena kweli nchi zetu ni maskini ...sijui kama marekani kuna mgao wa umeme
 
Inatia kichefuchefu ile mbaya juu ya mambo haya ya Tanesco na mascandal kibap mpka serikali ikajiuzulu kwa muda wote, Sasa hivi Sisi watanzania tuna nini kichwani kwetu??kwani kuna nini tanesco??
 
kwa jinsi zitto alivyoelezea hapo juu kama sio kutaja jina waweza fikiri ni Dr. Idriss alikuwa akifanya press comference,well done Zitto...... nafahamu hawa GE waliingia pia mkataba na TAZARA kusupply baadhi ya equipments labda mdau Zitto na wengine mnijulishe hapa ilikuwaje tender ilitangazwa?au GE walikuwa contracted direct?
 
Zitto,
Umejiingiza sana kwenye masuala ya TANESCO kuliko shirika jingine lolote la UMMA. Hii ni hatari kwako kwani wewe unaongea na MENEJIMENTI tu, undani hasa wa shirika lile hauujui. Iachie Bodi ya TANESCO ifanye kazi yake. Ufisadi uliomo ndani ya TANESCO hakuna siku litakaa litengeneze faida!

Mkuu WildCard

Hebu soma tena ulichoandika...Zitto ni Mbunge na zaidi ya hapo yupo kwenye kamati ya Bunge inayompa majukumu ya kuifuatilia Tanesco kwa karibu. Hapa anatimiza majukumu yake tena kikamilifu.

Halafu wewe unasema eti awaachine mafisadi wafanye watakavyo.!!

Mwananchi wewe mbona unanitia mshangao wa mwaka, si kila siku tuko hapa tunawalaumu Wabunge wetu wanalala usingizi tu Bungeni..???!!!!

Sasa hapa yupo Zitto (MB) anatupa habari na kutuelimisha maendeleo, matatizo, juhudi zilizofanywa na Tanesco na ufisadi uliofanywa na Serikali katika kuishinikiza Tanesco.

Ni kweli huu ufafanuzi wote tulitakiwa tuupate kutoka kwa Msemaji wa Tanesco lakini maadamu hao wamelala, hakuna ubaya iwapo Mbunge Zitto naye akitufafanulia. Yaani kweli Mkuu hutaki hata kukubali kuwa Mbunge Zitto anatekeleza wajibu wake?
 
kwa jinsi zitto alivyoelezea hapo juu kama sio kutaja jina waweza fikiri ni Dr. Idriss alikuwa akifanya press comference,well done Zitto...... nafahamu hawa GE waliingia pia mkataba na TAZARA kusupply baadhi ya equipments labda mdau Zitto na wengine mnijulishe hapa ilikuwaje tender ilitangazwa?au GE walikuwa contracted direct?
Ndio hapoo basi Tazara wenyewe wamefanya maamuzi ya mkataba na GE kwa sababu wanajua wanachokitaka hakuna siasa wala haziwezi kuingia huko Tazara..Laa sivyo ungesikia kampuni ya Kihindi Rites wamepewa tender ku overhaul injini zote zimetumwa India..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom