Tanesco yatangaza mgawo wa umeme nchi nzima

anadai kuhusu mmiliki wa dowans, wanamfaham dowans wenyewe maana ni kampuni iliyosajiliwa hapa nchini...
 
swali...kadebu from ukerewe..kwa nn tunalipia gharama kila mwez hata kama hatukutumia kwa mwezi huo?
 
swali 2. lioche from nachingwea...kupandisha 18% siyo tatizo, je tutapata huo umeme kama inavyotakiwa? maana ukitaka umeme utaznungushwa mwaka mzima.
swali 3. noti from shy...nani mmiliki wa dowans? watutajie huyo mmiliki wa dowans
 
answers..ni kweli kila mwezi watu wanalipia umeme kama service charge...hiyo ni kulipia gharama kama za emergency na mambo mbalimbali
 
answ 2...anamuunga mkono huyo aliyesema 18% rise siyo issue ila huduma iboreshwe. anasema ktk kipindi cha kusubiri kubinafsisha shirika walikuwa hawawekezi, hivyo mitambo ilichakaa sana. kwa hiyo kwa sasa wanaendelea kuboresha mitambo ikiwa ni pamoja na kuweka magari ya emegency kila eneo.
 
Duh huyu md tanesco anatuhakikishia mgao utaendelea kutamalaki mpk 2013 , hii shuguli pevu
 
Hahaha mgao hadi 2013! Nilirudia nini Tz jamani si ningeendelea kubeba ma box tu!
 
Kwa sasa kuna mahojiano TBC kuhusu mgao wa umeme na kupanda kwa gharama za umeme. walioko studio ni Mkurugenzi wa Ewura, Masebu na Mkurugenzi wa Tanesco. fuatilia kipindi hiki!!!

ITV walionyesha jana majadiliano ya kupanda kwa bei ya umeme na tatizo sugu la umeme tanzania.
kuna mzee moja nafikiri ni mwenyekiti wa wafanyabiashara wa ku export bidhaa alikuwa anatoa hoja za msingi sana akishambulia serikali kwa ukali sana ITV wakamchakachua akaondolewa kwenye majadiliano kiujanja ujanja. ITV kama munaona hamuwezi kuwa neutral katika mijadala yenu munayoandaa ni bora munyamaze kabisa musiandae kitu chochote kuhusu mijadala ya kukosoa serikali muwaachie channel 10 na star tv
 
Kama kuna jambo la kusikitisha ni hili la kuingiamwaka mpya na gizanene,ukimwambia Ngeleja anauambia hawezi kujiuzuru kwatatizo kama hili,you guy are you serious?



:target:
 
Thanks to Tanesco and a weak ministry... wakaazi wa wilaya ya temeke na hasa maeneo ya kigamboni wana mgao uliotimu masaa arobaini na nane...

walibip jana masaa mawili asubuhi, kisha wakazima hadi leo hii

Thank you CCM, uongozi wenu kweli unawajali sana wananchi, tena zaidi ya kofia na khanga
 
Tanesco ni 'virus' kwetu, je huu mgao ni mpaka Unguja & Pemba ama..!!
 
unguja na pemba walishapata wao, mwaka juzi nadhani for over 3 months.. LOL
 
Hivi huu mgao ni kwa sababu gani? ni kwamba hakuna mvua vyanzo vimepungua kina? au TANESCO wanasave hela wawalipe DOWANS? au ni nini, maana sielewi kwa nini tuna mgao.
 
unguja na pemba walishapata wao, mwaka juzi nadhani for over 3 months.. LOL

Bt Acid, huu wa huko visiwani si unatokea Tanga ama, na unazalishwa huku kwetu BARA...iwaje wao ????
 
pemba kuna muafaka no mgao dar es salaam mwanza, arusha na kwingineko mtakomeshwa mnajidai kufuatilia mambo ya wakubwa kama dowans, rechmond, epa, balali amekufa/yuko hai etc sasa wameamua kuwahukumu kimya kimya, mbeleni kuna mpango wa kukata 24hrs for 6 months
 
Back
Top Bottom