Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,591
- 1,599
anadai kuhusu mmiliki wa dowans, wanamfaham dowans wenyewe maana ni kampuni iliyosajiliwa hapa nchini...
Ipo pia ITV!!
Hahaha mgao hadi 2013! Nilirudia nini Tz jamani si ningeendelea kubeba ma box tu!
Kwa sasa kuna mahojiano TBC kuhusu mgao wa umeme na kupanda kwa gharama za umeme. walioko studio ni Mkurugenzi wa Ewura, Masebu na Mkurugenzi wa Tanesco. fuatilia kipindi hiki!!!
unguja na pemba walishapata wao, mwaka juzi nadhani for over 3 months.. LOL