Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,146
Mtamwita Fisadi Idriss Rashid, Mtamwita mwizi wa kesi ya Rada but we are responsible for the collapse of Tanesco. Alipotaka kupandisha bei ya umeme alipingwa vikali eti watanzania hawawezi kumbe kuna watu walikuwa hawampendi tu na alikuwa akiwabania maslahi yao. Haya sasa shirika linawafia mikononi mwenu na Engineer mnayemtaka (new CEO) sijui mna mawazo gani. Tujifunzeni kuheshimu fani za watu sio kila kitu siasa.
teh teh bora life tu bana..halina faida..Engineer toka lini anweza kuwa na business mind..ye anawaza kusimika nguzo na kilovott za umeme sio kukkaa ofisini ...acha life tutumie vibatari