Watakatajeeeee.....!Nipo Dar ,maeneo ya tegeta huku wamekata!
Nimefinywa sikio warasimu ndani ya serekali ya Kikwete wameliamuru shirika la umeme TANESCO kuzima mitambo yake ya kuzalisha umeme sehemu kubwa ya nchi hasa miji mkubwa ili waTanzania wengi wasipate fursa hadimu ya kumsikiliza Jaji Warioba.
Hii ni baada ya wanaCCM wahuni wakiongozwa na Mwenyekiti wa wahuni Tanzania Bwana Paul Makonda kushindwa kuzima kiu ya waTanganyika na waZanzibar kutaka kusikia maoni ya msomi Jaji Warioba kushindwa kufikia malengo yaliyokusudiwa.
Nimeongea na wadau mbali toka mikoa mingi ya Tanganyika wamenithibitishia umeme umekatika katika maeneo yao.
Naomba kuwasilisha.
====================
Update:
hakwamungu mungu atawapa ukichaa viongozi hawq washenzi.
kweli tayari wamekata umeme kilwa nzima ..ili watu wasiangalie
we umepata mgao nini? kichwa maji. unazani ofisi yako ya kizamani ndo zote zipo hivyo?. ofisi full dstv
Nenda kazini wewe, Muda wa kazi unaangalia TV halafu unalia Umasikini?
we umepata mgao nini? kichwa maji. unazani ofisi yako ya kizamani ndo zote zipo hivyo?. ofisi full dstv