TANESCO yaamriwa kuzima umeme

TANESCO yaamriwa kuzima umeme

Geita hakuna umeme wamekata yapata nusu saa mpaka sasa eneo nililopo watu walikuwa wameacha shughuli zao ili kufuatilia escrow bungeni vijiwe vya kahawa vyenye tv vimejaza watu mpaka sasa wakisubili kama umeme utarudi
 
lengo nikujua ukubwa wa Tatizo na kuomba marudio ya Bunge juu ya sakata la Escrow ili tujue na kuona kilichozungumzwa.....


Mwanza maeneo ya kirumba wameshakata....
 
Wakuu mkoa wa Arusha na Kilimanjaro hadi sasa kuanzia saa nne kasoro wametukatia umeme, vipi mikoa mingine umeme upo?

Nadiriki kusema hizi ni njama za Serikali (Tanesco) kuwa tusifuatilie mjadala wa Escrow alafu baadae wanatuambia kulikuwa na hitilafu ya umeme.
 
Mimi nipo kilimanjaro eneo nilipo kuna umeme sema ile REDIO yao leo wameikatia matangazo yaani chenga tupu
 
Baadhi ya arusha umerudi, karatu umerudi..
 
Geita hakuna umeme wamekata yapata nusu saa mpaka sasa eneo nililopo watu walikuwa wameacha shughuli zao ili kufuatilia escrow bungeni vijiwe vya kahawa vyenye tv vimejaza watu mpaka sasa wakisubili kama umeme utarudi
nipo Songea, nako wamekata umeme.
 
Wakuu hii ni Thread maalumu inayohusiana na kupeana Updates kuhusu ukatikaji wa mara kwa mara wa Umeme wa TANESCO maeneo mbalimbali Nchini.


Kama mtumiaji wa umeme na mteja wa kawaida wa TANESCO, ni ngumu kufahamu ukatikaji huo ni kwa sababu za kisiasa au kwa sababu za Kiufundi.

Unachotakiwa kufanya,ni kutopiga "siasa" nyingi bali andika maneno macheche tu ya "HAPA...WAMEKATA" au HAPA...UPO.kama ulikatwa na umerudi,andika "HAPA...UMERUDI.

Naomba mkuu Moderator usiunganshe mada hii na mada nyingine,ni muhimu.iwekee sticky kwasababu ukatikaji wa umeme ni jambo la linalotokea kila mara na linalokera sana watanzania hasa pale wanapokuwa wamejianda kifikra kufuatilia matukio mbalimbali mazito ktk vyombo vya habari.

Nawasilisha.
CC Invisible.
 
Last edited by a moderator:
hehehehe bora gari igome kupiga starter lakini tunawasha redio kusikiliza bungeeee :becky:
 
Kuna habari zimetapakaa kwamba TANESCO wamepewa maelekezo na Prof Muhongo, Felchesmi Mramba, Maswi & Mboma kuzima umeme nchi nzima pindi sakata la ESCROW likianza kurindima bungeni Dodoma ili kuwazuia wananchi kufuatilia skandali hii kupitia kwenye rununu zao.

Hii ni hujuma ya makusudi. Kama kweli hawa wezi wamekusudia kuwafanyia hawa wananchi huu ugaidi tuwashukie. Vitendo vyao vya kiFISADI haviwezi kuwanyima raia haki ya kupata habari. Wananchi wote tusimame kidete kupinga hujuma hii. Raia wote tuwe makini na hawa maharamia, wasipende kutuendesha kadri watakavyo.

:israel:
 
Wawafukuze na waandishi wa habari wote kama ilivyo kawaida yao;
Tunajuwa wapo wana jf humo ndani watatujuza hata kwa kutumia
simu zao.
 
Wawafukuze na waandishi wa habari wote kama ilivyo kawaida yao;
Tunajuwa wapo wana jf humo ndani watatujuza hata kwa kutumia
simu zao.


Safi Sana dadangu Mamndenyi hawa fisi kuwachekea kwa kigezo cha kulinda chama ni upumbavu...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom