Kuna Technical problem, mafundi wanashughilikia.
Kuna Technical problem, mafundi wanashughilikia.
Sina mengi kuelezea tabia hii ya kipuuzi iliyozoeleka hapa ambapo TANESCO hukata umeme kila kunapokuwa na mijadala muhimu ya kitaifa.Nazungumza hivi kwasababu hapa Morogoro wametukatia umeme muda mfupi kabla ya mjadala wa ESCROW kuanza. Mambo haya kipuuzi puuzi hufanyika hapa Tanzania tu na si kwingineko ulimwenguni.