Ndg wanajamiiforum...
Hivi hii nchi vip..
Hapa kinondoni hakuna umeme wakati wanajua mafisadi wanasomwa saa moja lijalo.
My take.
Je ni redio gani watarusha live jamani..nisikilize hata redio kwa battery.
Nisaidien nataka kuijua familia ibayolipwa milion 100 kwa siku hadi hapo 2035..
Takriban bilion 600 na ushee tsh.
Alafu vijana wa lumumba wanawatetea ccm...
Hawa wazima umeme wa Tanesco amabo huzima awakati tunataka kusikia na kuangalia mambo muhimu hasa ya kashfa kwa viongozi wetu wanaotutafuna, dawa yao ni kuwaombea wapate ugonjwa wa tezi dume ili washindwe kupanda. kwenye nguzo kuzima umeme. Washindwee na wanyong'onyee na ugonjwa wa tezi dume uwapate ili wakome!Ndg wanajamiiforum...
Hivi hii nchi vip..
Hapa kinondoni hakuna umeme wakati wanajua mafisadi wanasomwa saa moja lijalo.
My take.
Je ni redio gani watarusha live jamani..nisikilize hata redio kwa battery.
Nisaidien nataka kuijua familia ibayolipwa milion 100 kwa siku hadi hapo 2035..
Takriban bilion 600 na ushee tsh.
Alafu vijana wa lumumba wanawatetea ccm...
wangese ndo wamerudisha huku
Nimefinywa sikio warasimu ndani ya serekali ya Kikwete wameliamuru shirika la umeme TANESCO kuzima mitambo yake ya kuzalisha umeme sehemu kubwa ya nchi hasa miji mkubwa ili waTanzania wengi wasipate fursa hadimu ya kumsikiliza Jaji Warioba.
Hii ni baada ya wanaCCM wahuni wakiongozwa na Mwenyekiti wa wahuni Tanzania Bwana Paul Makonda kushindwa kuzima kiu ya waTanganyika na waZanzibar kutaka kusikia maoni ya msomi Jaji Warioba kushindwa kufikia malengo yaliyokusudiwa.
Nimeongea na wadau mbali toka mikoa mingi ya Tanganyika wamenithibitishia umeme umekatika katika maeneo yao.
Naomba kuwasilisha.
====================
Update:
Tanesco tunaomba mturudishie umeme tuyuwe hatima ya hili sakata la wizi wa pesa jamani mbona mnatuzinguwa