TANESCO yaamriwa kuzima umeme

TANESCO yaamriwa kuzima umeme

mie awa jamaa wamenchosha wanakata pesa nying et ni servic charge mpak leo ukienda kuwaambia unazungushwa sha taman kung'oa at e luku....
 
hahaaa.jpg
 
Wakuu hii ni Thread maalumu inayohusiana na kupeana Updates kuhusu ukatikaji wa mara kwa mara wa Umeme wa TANSCO maeneo mbalimbali Nchini.


Kama mtumiaji wa umeme na mteja wa kawaida wa TANESCO, ni ngumu kufahamu ukatikaji huo ni kwa sababu Maalumu au kwa sababu za Kiufundi.

Unachotakiwa kufanya,ni kutopiga "siasa" nyingi bali andika maneno macheche tu ya "HAPA...WAMEKATA" au HAPA...UPO.

Naomba mkuu Moderator uiwekee sticky Thread hii muhimu kwasababu ukatikaji wa umeme ni jambo la kawaida tz linalotokea kila mara na linalokera sana watanzania hasa pale wanapokuwa wamejianda kifikra kufuatilia matukio mbalimbali mazito ktk vyombo vya habari.

Nawasilisha.
CC Invisible.
 
Last edited by a moderator:
Nilisahau kuandika nina-Report kutoka wapi.

Niki-Report kutoka Kigogo Sambusa, ni mimi Sumu wa JamiiForums.
 
Last edited by a moderator:
Kusikia taarifa ya PAC imewekwa mezani bungeni tayari kwa kuwekwa hadharan na majadiliano. mmekata umeme fasta, hata hivyo aisaidii kitu hata kama ndo maagizo mliyopewa. its too late.
 
9:30am sasa tanesco wameshachukua umeme wao huku mbezi beach, tupeni taarifa UA sehemu nyingine umeme ulipokatika
 
Umeme umekatwa arusha, na pia karatu umekatwa SAA 3 na dakika29....aya majamaa hayana akili
 
Nimekuwa natembelea maeneo mbalimbali katika nch yetu na ukweli nchi iko kwenye mgao mkali wa umeme, mfano mkoani Morogoro maeneo ya chuo kikuu cha Jordan umeme unarudi jioni, jijini Dar hali ni hiyo hiyo.

Mgao huu unatokana na ukata mkubwa unaolikumba shirika la Tanesco, wameshindwa kabisa kununua mafuta ya kutosha kulisha mitambo ya kukodi.

Jambo la ajabu usalama wa taifa wamekuwa wakizunguka mikoani na kuwachukua wafanyakazi wa TANESCO wale walioko kwenye manejimenti kwa kuwalisha viapo kuwa wasitoe siri za mgao, kwa upande wa kilimanajro viapo hivyo vilifanyika katika hostel inayomilikiwa na kkt iitwayo uhuru hostel, na hapa dsm maeneo ya ikulu.

Naomba wabunge mwambieni Prof. Muhongo aache unafiki na uongo uliokubuhu kwani ukweli ni kuwa nchi iko gizani, na yeye yuko busy kudanganya kuwa hakuna mgao na kutetea wezi wa escrow.
 
Back
Top Bottom