Jenerali Ambamba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 3,344
- 2,537
Mwanza hapa maeneo ya Pasiansi umeme upo muda huu, ndo nimeamka kusikiliza BBC. upo labda baadae wakate, sunajua Maboss wao ndo wanakaangwa leo?
Hata kwa kutumia simu tu mbona mambo yana enda......yaani mie nimesikiliza mdahalo wote kupitia simu yangu , yaani mambo burudaaaani
Wazime kivipi na wewe majenereta yapo na mitandao IPO usiwe mwoga