TANESCO yaamriwa kuzima umeme

TANESCO yaamriwa kuzima umeme

Malinyi Ulanga Morogoro,hatuna umeme tokea uhuru,..MAJANGA!
 
Pole zao,tunaisikiliza kama kawa.

Hata kwa kutumia simu tu mbona mambo yana enda......yaani mie nimesikiliza mdahalo wote kupitia simu yangu , yaani mambo burudaaaani
 
Nipo Dar, nimesikiliza kwa kuangalia mdahalo wote kwenye TV ya wananchi (ITV). Pongezi zenu TANESCO.
 
kibaha maili moja yangu asubuji mpaka mida hii naondoka kurudi kwangu dar,umeme upo.
 
Acha uongo, wengine tumezisikiliza hekima za tume na tulishaanza kuhimizana kupigia kura ya hapana katiba ya fisadi/mwizi Chenge na genge lake!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Wadau msiwe na wasiwasi,mdahalo wote umerecordiwa kuanzia saa 15:03 mpaka saa 17:56,utakuwa youtube kama kawaida.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nimefinywa sikio warasimu ndani ya serekali ya Kikwete wameliamuru shirika la umeme TANESCO kuzima mitambo yake ya kuzalisha umeme sehemu kubwa ya nchi hasa miji mkubwa ili waTanzania wengi wasipate fursa hadimu ya kumsikiliza Jaji Warioba.

Hii ni baada ya wanaCCM wahuni wakiongozwa na Mwenyekiti wa wahuni Tanzania Bwana Paul Makonda kushindwa kuzima kiu ya waTanganyika na waZanzibar kutaka kusikia maoni ya msomi Jaji Warioba kushindwa kufikia malengo yaliyokusudiwa.

Nimeongea na wadau mbali toka mikoa mingi ya Tanganyika wamenithibitishia umeme umekatika katika maeneo yao.


Naomba kuwasilisha.

Acha uongo mbona ulikuwepo na nimeangalia mdahalo mwanzo mwisho. Kawadanganye wapumbavu
 
Mbona tutakoma nimepita maeneo ya soko kuu Arusha watu kibao wapo na simu zao wanamsikiliza Jaji Warioba mji mzima unazizima na majenereta.

Hata wangezima dunia nzima haitawasaidia,,,,kuna alternative nyingi za kuweza kusikiliza,,, nguvu ya wananchi haiwezi kuzimwa kwa mbinu dhaifu kama hizo,,,sana sana wanawakosesha mauzo shirika la TANESCO.
 
Back
Top Bottom