luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,325
- 6,871
Ndugu mpendwa Mteja wetu
Ndugu mpendwa Mteja wetuTanesco kabindi, biharamulo umeme kila Siku unakata siku nzima au usiku mzima. Kazi zetu zinafeli sna.
Teh teh shuguli inakuwaga hapa sasaNdugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora
Unapolalamika unahaki ya kusikilizwa na unawajibika kutoa ushirikiano hata kwa dmTeh teh shuguli inakuwaga hapa sasa
Ova
Toa Ushirikiano TanescoTeh teh shuguli inakuwaga hapa sasa
Ova
Je umelipia lini? Jina Wilaya na namba ya simu? Tunaendelea kuwafungiwa wateja wetu umeme kwa mfumi wa wa kwanza kulipoa wa kwanza kufungiwa.Makamba inabidi afumue Tanesco nzima ,wanafanya kazi kwa mazoea,waziri anasema nguzo zipo,meter zipo lakini ukishalipia hakuna kinachoendelea...
Je umelipia lini? Jina Wilaya na namba ya simu? Tunaendelea kuwafungiwa wateja wetu umeme kwa mfumi wa wa kwanza kulipoa wa kwanza kufungiwa,Aidha kumekuwa na ongezeko kubwa la wateja kutokana na kushuka kwa gharama za kuunganishia wateja umeme
Mpaka sasa haujatoa taarifa tulizoomba hivyo bado hatujui tukujibu kwa taarifa zipi haswa, tafadhalo toa ushirikianoNgoja nimpigie simu awawasiliane na nyinyi,Survey amefanyiwa mwezi wa pili ,control number imetoka mwezi wa 10 means amelipia mwanzoni mwa mwezi wa 10...
Wapi haswa? Tafadhali onesha taarifa kamili kwa nia ya kuhudumiwasiyo Kibaha tu, iyo ni kote
lazima ipite mwezi(au miezi) ndipo saveya aje
ukihonga anakuja chap
toka ofisini hapo, njoo Tanesco Chanika utajua naongelea niniWapi haswa? Tafadhali onesha taarifa kamili kwa nia ya kuhudumiwa
Tunawasihi wateja wetu ifike hatua tujali na kuheshimu watoa huduma, Ni vema unapoandika au kulalamika utoe ushirikiano kwa kuwa hata ukifika ofisi husika unapaswa uwe na taarifa za kuanzia.toka ofisini hapo, njoo Tanesco Chanika utajua naongelea nini
Dm huzijibu mkuu mm nimekudm siku nyingi hujajibuUnapolalamika unahaki ya kusikilizqa na unawajibika kutoa ushirikiano hata kwa dm
Tuma sasa tunakujibu mara mojaDm huzijibu mkuu mm nimekudm siku nyingi hujajibu
Sent from my itel A16 Plus using JamiiForums mobile app
Tanesco nina swaliTuma sasa tunakujibu mara moja