TANESCO watoa ufafanuzi matatizo ya LUKU!

TANESCO watoa ufafanuzi matatizo ya LUKU!

Hili jambo lingekuwa mara ya kwanza angalau mungekuwa na maana lakini si mara 1,2,3 ni kama mazoea endeleeni kuomba mungu ccm iendelee kuongoza ili muendelee kulihujumu shirika lisilo na mwenyewe
 
Tanesco pumbavu sana, lakini yote yana mwisho na mwisho wenu hauna masaa.
 
Tanesco pumbavu sana, lakini yote yana mwisho na mwisho wenu hauna masaa.
Hao jamaa wa TANESCO ni wapuuzi sana tena sana.

Nimemshuhudia Mkurugenzi wao mkuu, Engineer Mramba, kwenye taarifa ya habari ya ITV ya saa 2 usiku, akituassure waTz kuwa tatizo limekuwa solved.

Akatuhakikishia kuwa kila kitu kitarudi katika hali ya kawaida usiku huu, kumuhakikishia Mkurugenzi huyo wa TANESCO kuwa aliongea uongo wa kupitiliza ni kwamba, usiku wote huu ninapopost hii mada, ninaendelea kukaa gizani, kwa kuwa nimejaribu mara kadhaa kununua umeme huo kwa M-Pesa na Tigo Pesa, lakini nara zote zinazozidi mara 10, nimekuwa nikirejeshewa meseji ya kuwa muamala wangu wa pesa umerejeshwa, kutokana na matatizo ya kiufundi kwenye mfumo wa LUKU.

Kwa kulidanganya waziwazi Taifa zima, kupitia kwenye chombo cha habari hicho kinachoangaliwa na watu wengi sana, na kwa TANESCO kuendelea.kutupa usumbufu mkubwa, nadhani ingekuwa vyema Mkurugenzi huyo wa TANESCO aamue tu kuwajibika kwa kuachia ngazi.
 
Pole mkuu, ila wana kera saaana. Walitakiwa watoe taarifa mapema na sio kushitukiza kama walivyo fanya

Walitakiwa kutoa taarifa mapema baada ya tatizo kutokea! Tatizo la kimfumo likitokea si rahisi kujua mtachukua muda kiasi gani kurudi kwenye huduma!
Hili ni tatizo la wataalamu wengi wa hapa nyumbani kushindwa kutoa taarifa mapema wakifikiri baada ya nusu saa tatizo litakua limeisha! Sasa ona wamelaza watu giza, wengine biashara haziendi kwa sababu ya kutotoa taarifa mapema!
Kuna mengi sana katika Shirika hili la Umma!
Unakuta umeme unakatika hata kwa wiki hawatoi hata taarifa ya kilichotokea!
Tubadilike Tanesco! Hatuwezi kwenda mbele kama mambo ni haya kila siku.
 
Naendelea kusisitiza kuwa huyo Engineer Mramba anastahili kuachia ngazi kwa kulidanganya Taifa, kupitia luninga ya ITV ya saa 2 jana usiku, alipotuhakikishia kuwa hali ya ununuaji umeme wa LUKU kupitia.kwenye mitandao ya simu imerejea kama.kawaida.

Mimi mwenyewe nimelala giza hapa.kwangu na nimeendelea kujaribu kununua umeme huo wa LUKU usiku mzima kwa zaidi ya mara 10 bila mafanikio.

Mara ya mwisho.nimejaribu alfajiri ya leo ya saa 11.30 ambapo nilirejeshewa meseji iliyoniambia kuwa muamala.wangu umerudishwa kutokana.na maratizo ya kiufundi kwenye mtandao.
 
ahsante tanesco kwa taarifa. Je shirika limepata hasara ya kiasi gani hadi sasa? Je wateja walioathirika kwa kukosa umeme mtawafidia??
unauliza hasara ya nini.... Unakuwa kama mbwiga na wewe... Hasara yao inakuhusu nini... Tunataka umeme hatutaki longolongo..
 
Hivi kumbe hapa Tanzania hatuna wataalamu,umefika wakati TANESCO ianzishe utaratibu wa kuwatrain watu.
 
Hao jamaa wa TANESCO ni wapuuzi sana tena sana.

Nimemshuhudia Mkurugenzi wao mkuu, Engineer Mramba, kwenye taarifa ya habari ya ITV ya saa 2 usiku, akituassure waTz kuwa tatizo limekuwa solved.

Akatuhakikishia kuwa kila kitu kitarudi katika hali ya kawaida usiku huu, kumuhakikishia Mkurugenzi huyo wa TANESCO kuwa aliongea uongo wa kupitiliza ni kwamba, usiku wote huu ninapopost hii mada, ninaendelea kukaa gizani, kwa kuwa nimejaribu mara kadhaa kununua umeme huo kwa M-Pesa na Tigo Pesa, lakini nara zote zinazozidi mara 10, nimekuwa nikirejeshewa meseji ya kuwa muamala wangu wa pesa umerejeshwa, kutokana na matatizo ya kiufundi kwenye mfumo wa LUKU.

Kwa kulidanganya waziwazi Taifa zima, kupitia kwenye chombo cha habari hicho kinachoangaliwa na watu wengi sana, na kwa TANESCO kuendelea.kutupa usumbufu mkubwa, nadhani ingekuwa vyema Mkurugenzi huyo wa TANESCO aamue tu kuwajibika kwa kuachia ngazi.
Mkuu nadhani kuna kitu watanzania tunatakiwa kukifanya kwa ajili ya kuinusuru nchi yetu, inawezekana vipi mtu una pesa zako mkononi halafu unalazimishwa kukaa gizani, vitu ndani ya friji vinaoza kisa eti mtandao unasumbua.

Ingekuwa nchi za wenzetu wanaoelewa nini maana ya kuwajibika kwa wananchi, Tanesco ingetakiwa kwa siku zote hizi ambazo mtandao umesumbua waachie umeme bure kwenye akaunti zote ambazo ziliishiwa umeme na zimeshindwa kununua mwingine kutokana na utendaji mbovu wa shirika la umeme. Wao hawataki hasara lakini sidhani kama wamejiuliza ni hasara kiasi gani wametusababishia sisi wateja wao?

Mkuuu mimi kilichoniokoa asubuhi ya leo nimesoma kwenye gazeti la mwananchi nikaona kupitia simbanking ya CRDB unaweza kununua umeme, nimejaribu nikafanikiwa kununua. Lakini usiku wa leo nimelala gizani.
 
Hivi kumbe hapa Tanzania hatuna wataalamu,umefika wakati TANESCO ianzishe utaratibu wa kuwatrain watu.
Kupeana ajira kwa vimemo na kujuana ndiko kunapelekea majanga kama haya. Ni mtaaalamu gani huyo aliyesomea kazi yake na kuhitimu kwa mafanikio anashindwa kurekebisha kasoro ya kimfumo siku zote hizi na yupo analipwa mshahara kwa kusinzia tu kwenye kiti!!!
 
Hivi yule mdada sijui meneja mahusiano yupo? anaakili timamu? Anajua wajibu wake?
 
Hata leo umeme umekatika tanesco kwa hiyo wateja wameshimdwa kuhudumiwa! Sasa inakuaje shirika.kubwa kama.hili kukosa umeme?hta jenereta hamna?ni shida tanesco
 
Hata leo umeme umekatika tanesco kwa hiyo wateja wameshimdwa kuhudumiwa! Sasa inakuaje shirika.kubwa kama.hili kukosa umeme?hta jenereta hamna?ni shida tanesco

Umeme umekatika kwenye shirika la umeme....hii inatokea Tanzania tu aiseeee...
 
Back
Top Bottom