wataalamu wa ndani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Wataalamu wa Ndani Wajenga Kituo cha Imalilo

    Hongereni sana TANESCO kwa uamuzi wenu wa kutekeleza ujenzi wa kituo hiki kwa kutumia wataalamu wa ndani baada ya changamoto zilizojitokeza katika utekelezaji wa mkataba na mkandarasi wa awali lakini pia niwapongeze na kazi mnayofanya. Ni nzuri. Ina standard na ubora-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Edward Mpogolo: Serikali inawajengea uwezo Wataalamu wa ndani, wakiwemo Wabunifu Majengo na Ukadiriaji Majenzi

    Serikali imesema kuwa imeendelea kuwajengea uwezo Wataalamu wa ndani wa kada mbalimbali nchini ikiwemo ya Ubunifu Majengo na Ukadiriaji Majenzi kwa kuwashirikisha kwenye miradi mkubwa kupitia Wizara ya Ujenzi. Akizungumza Oktoba 29, 2024 jijini Dar es Salaam, katika Mkutano wa Tano wa Mwaka wa...
  3. usatz

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali haina Imani na Wataalamu wa ndani?

    Leo nimesikia kwenye Taarifa ya habari ya E FM radio, 93.7 Dar es salaam. Kuwa Mradi wa Maji uliotolewa na World bank, Mkandarasi ni Mchina. Juzi nikiwa maeneo ya madale niliona wachina wakiwa wanasimamia uwekaji wa mabomba ya maji maeneo hayo. Swali ni kwamba? 1. Serikali haina imani na...
Back
Top Bottom