Chengo Wa Anziwani
Member
- Nov 18, 2019
- 44
- 47
Mkuu, hicho kiwanda chako kidogo kina LOAD ya kiasi gani?Habari, Mimi ni mkazi wa Morogoro vijijini. Biashara yangu ni ya kukoboa zao(silitaji kwa sababu binafsi) ni mwaka wa tatu sasa nafuatilia kuwekewa umeme katika kiwanda hichi kidogo maana natumia diesel lakini gharama nnazopewa ni zaidi ya milioni kumi, ikiwemo na kununua transform.
Wataalam hili suala limekaaje maana nashindwa kuelewa. NINUNUE transformer kivipi wakati ni wajibu wa TANESCO kutupatia huduma kwa malipo husika ya huduma hi.. na ugumu wa kuwekewa umeme unakuja wapi jamani. MSAADA
Mkuu Kama tunahitaji kuvuta umeme na laini ya Umeme wenu wa Tanesco upo barabara kuu ya lami na kuuleta kwenye site yetu ni Kama 800 meters umbali toka lami, je gharama ya kuvutiwa umeme itakuwa kiasi gani, maana tuna makrasha ya kusaga mawe tunatumia diesel ambayo ni gharama ikizingatiwa mafuta yamepanda bei.Asante sana kwa ushuhuda wako, tupo kuwahudumia
Hii mnashauriwa kusubiri miundimbinu ya umeme uwafikieMkuu Kama tunahitaji kuvuta umeme na laini ya Umeme wenu wa Tanesco upo barabara kuu ya lami na kuuleta kwenye site yetu ni Kama 800 meters umbali toka lami, je gharama ya kuvutiwa umeme itakuwa kiasi gani, maana tuna makrasha ya kusaga mawe tunatumia diesel ambayo ni gharama ikizingatiwa mafuta yamepanda bei.
SawaHii mnashauriwa kusubiri miundimbinu ya umeme uwafikie
Tunasubiri ushirikiano kutoka kwake maana mpaka sasa bado hatujapata taarifa tulizoomba.
Hii mnashauriwa kusubiri miundimbinu ya umeme uwafikie
Utakuwa shahidi kuwa maeneo mengi nchini yamefikiwa na umeme na tunaendelea kusogeza miundombinu kwa awamu.Aiseee inasikitisha sana!! Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru bado Tanesco inasuasua kupeleka umeme ,tatizo ni monopoly,kungekuwa na kampuni nyingine ya umeme nadhani mngezinduka kutoka usingizini.
Bado hakuna ushahidi wala maelezo kamili kutoka kwa mlalamikaji, yakitimia tutatoa ufafanuziJibuni kwanza ni sahihi kwa mteja kununua TRANSFORMER?
Mkuu ni sahihi!maana inategemeaJibuni kwanza ni sahihi kwa mteja kununua TRANSFORMER?
Naomba kujua kwamba wewe wakati unachukua umeme kwenye nguzo ya jirani uliwajibika kumlipa jirani kwakuwa yeye alisogeza umeme au wewe tu ndio unataka ulipwe kwakuwa jirani yako asiyekuwa na umeme amechukulia kwako?Halafu ikitokea ukalipia baadaye watawasambazia watu umeme kwa kutumia transformer uliyolipia bila kurudishiwa chochote, kuna maeneno mtu anaambiwa anunue nguzo akitaka umeme, we umenunua nguzo baadaye wanatumie nguzo hiyo kuvuta umeme kwa wengine wakati we uliyelipia nguzo hupewi chochote, utaratibu wa hovyo sana.
We ndo hufai..siku zote fanya kazi kwa documents ili uwe na ushahidi,ili la kujibiwa kwa mdomo linaonekana ni majungu tuSikuandikiwa kwa barua nimembiwa kwa maneno tu. Meneja nimeonana nae, hata namba ninayo Ila siku hizi hataki hata kupokea simu. Nimeongea nae sana. Bila mafanikio.