Hapa naomba ufafanuzi kidogo maana naona Sasa hivi tuliokuwa kwenye matumizi madogo yani wale tuliokuwa tunanunua umeme wa elfu 9 units km 73 hivi kwa mwezi Sasa mmetuhamishia matumizi makubwa..shida ni Nini?Hakuna mabadiliko yeyote yaliyotokea kwenye tarif bali ni utekelezaji wa miongozo iliyopo toka mwaka 2016.Wateja wote wanawekwa kwenye makundi yanayoendana na matumizi yao