Jamani bandugu wenye taarifa ilojaa mashiko na uhakika kutoka source yoyote inayoeleweka naomba kufahamu hatma ya hii Movie imekwishaje kwenye hii episode ya mwisho ya rufaa ya TANESCO; mahakama imeamuaje maana naona hapa JF watu wametupia vitu tofauti mwingine anasema Mahakama imetupilia mbali rufaa ya TANESCO(Dowans imeshinda), mwingine anasema TANESCO imeshinda kesi sasa yupi mkweli???
Kama dowans wameshinda kesi ina maana pingamizi Lao limekubaliwa, sasa Kama pingamizi limekubaliwa ina maana Maombi ya Tanesco yametupwa na Kama Ndio hivyo ina maana hakuna Maombi mahakamani. Lakini Kama ulisikia TBC wamesema kesi imepangwa tarehe 18 machi 2012, hii haiwezakani kabisa Kama kesi itakuja tarehe hiyo ina maana kuna kesi mahakamani (Maombi ya Tanesco).Kwa Hali hiyo haitakuwa sahihi kusema Dowans imeshinda, Kama ni hivyo then we have a long way to go in Legal reporting, waandishi wapelekwe shule.
...sio in legal reporting tu,waende shule kwa mambo mengi,kwa kifupi imegubikwa na vilazaKama dowans wameshinda kesi ina maana pingamizi Lao limekubaliwa, sasa Kama pingamizi limekubaliwa ina maana Maombi ya Tanesco yametupwa na Kama Ndio hivyo ina maana hakuna Maombi mahakamani. Lakini Kama ulisikia TBC wamesema kesi imepangwa tarehe 18 machi 2012, hii haiwezakani kabisa Kama kesi itakuja tarehe hiyo ina maana kuna kesi mahakamani (Maombi ya Tanesco).Kwa Hali hiyo haitakuwa sahihi kusema Dowans imeshinda, Kama ni hivyo then we have a long way to go in Legal reporting, waandishi wapelekwe shule.
ushaanza na rev unategemea nini zaidi ya mstari live
mpwa upo
ushaanza na rev unategemea nini zaidi ya mstari live
mpwa upo
Tatizo kubwa hukumu ilisomwa kwa kiingereza
Hapa suala la Dowans au Tanesco kushinda silioni kilichotangazwa TBC1 na Channel Ten ni Mahakama kuu kutupilia mbali pingamizi la Tanesco kuhusu nia yake ya kukata rufaa kuhusu tozo ya ICC na imesema hukumu ya ICC ni halali kisheria. Sijui kama mfuatiliaji wa ITV alikuwa makini.
Kweli mwenye nacho ataongezewa, ina maana hawa akina Mwanaidi Maajar watandelea kutafuna pesa zetu kwa gia ya kujifanya wanaitetea Tanesco!!??TANESCO wameshida pingamizi Lao la kukata rufaaa! Maana yake wanaweza pinga hukumu ya dowans. Dowans iliyokuwa ikitetewa na wakili Kennedy Fungamtama alishikwa na butwaa baada ya hukumu kusomwa. Kuna uwezekano mkubwa sana Dowans wasilipwe. Huu ni ushindi kwa watanzania
Source ITV saa 2 usiku
Wanajamii, machungu zaidi Tanesco kwani Mahakama ya rufaa imetupilia mbali pingamizi la Tanesco. Hii ina maana kuwa Tanesco lazima walipe bil 104 na ushehe!
TANESCO wameshida pingamizi Lao la kukata rufaaa! Maana yake wanaweza pinga hukumu ya dowans. Dowans iliyokuwa ikitetewa na wakili Kennedy Fungamtama alishikwa na butwaa baada ya hukumu kusomwa. Kuna uwezekano mkubwa sana Dowans wasilipwe. Huu ni ushindi kwa watanzania
Source ITV saa 2 usiku
TBC1 wameongea hili kinyume sijui which is which.
Mie nilishasikitika baada ya kusoma Dowans wameishinda Tanesco!!!
Asante mkuu kwa kuweka mambo sawa
Kama unasoma Uhuru, habari Leo, mzalendo, unasikiliza RTD na kuangilia TBC utakuwa mislead all the time