Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,502
- 9,281
Aiseeeee.Meneja Uhusiano wa TANESCO Johari Kachwamba, amesema kuwa uwepo wa Kunguru ndiyo chanzo kikubwa cha umeme kukatika mara kwa mara katika wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, kwani Kunguru hao wanachangia kuharibu miundombinu hususani nyaya za umeme...
Mkuu upo grocery gani Sasa hivi π΄Kuna siku nilikutana na fuso la chadema limejaa matrei ya mayai madogo madogo nikauliza ni mayai ya nini yale, wakaniambia ni ya kungulu yametoka ubeligiji wanayapeleka kwenye incubator la mbowe kutotolesha. Leo nimepata majibu
Tanesco imesema ndege aina ya Kunguru ndio chanzo cha umeme kukatikakatika katika wilaya ya Kinondoni.
Kunguru hao hula maganda ya nyaya na kwa wakati huu matengenezo ya ubadilishaji nyaya unaendelea.
Maendeleo hayana vyama!
cc: Mrangi Ova
Ndugu kingereza km hujui achaAre they seriously?
Nimeambia niongee au kuandika nikikosea watanirekebisha, haya nirekebishe ili nisikosee tena sasaNdugu kingereza km hujui acha
Huyu kalishwa matango pori tu maskini ya Mungu,kunguru wanakuraje nyaya za umeme?hakuna uwezekqno wa kunguru kupigisha short circuit ya nyaya za 33KV,sema Kama ataamua kupiga msamba!Meneja Uhusiano wa TANESCO Johari Kachwamba, amesema kuwa uwepo wa Kunguru ndiyo chanzo kikubwa cha umeme kukatika mara kwa mara katika wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, kwani Kunguru hao wanachangia kuharibu miundombinu hususani nyaya za umeme....
Na hawa ni kunguru wapya kabisa,ndiyo wametelemka Jana usikuHii ni elimu mpya
ππππ Nimekukubali aisee. Utajifunza ukiwa hivi.Nimeambia niongee au kuandika nikikosea watanirekebisha, haya nirekebishe ili nisikosee tena sasa