TANESCO: Rationing is back!

Mgawo wa umeme hautakuja kwisha Tanzania mpaka tuamke na kuwatoa watawala wabovu madarakani. Sababu ni moja tu wao wanafaidika na hii migawo. Katika kipindi ambacho sisi tunalalama wao wanapanga jinsi ya kuingia mkataba mwingine mbovu kwa manufaa yao, then mgawo utaisha kwa muda, utarudi tena halafu wanaingia mkataba mwingine wa ovyo. Tamthilia hii itaendelea wa kuchukua hatua ni sisi wapiga kura, yaani mimi na wewe
 
Back
Top Bottom