TANESCO noma

TANESCO noma

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,373
179146_610518342299551_905987746_n.jpg
 
Hawa ni washez* kabisa.....
Sasa huo ukurasa wao ndiyo
wanatoa mipasho.
 
Tanesco ilikuwa ile ya marehemu Salvatory Mosha bhana, hao wengine wezi tu!.
 
Siamini kama kweli Tanesco wamefikia hapo! mbona watasababisha wapigwe mawe njiani!
 
E banae yaani nimechekaa.huyo fwala aliyeandika lazima alikua kalewa
 
sasa wamewaambia ukweli mjini mmekuja juzi imekuwa balaa kwani huko vijijini muliishi vipi?

Kwa wale wenye kumbukumbu nzuri, pale mlimani wanafunzi walipogoma eti hawawezi kulala chumba kimoja watu wanne enzi hizo, mwalim majibu aliyotowa wenye kumbukumbu watatuelezea zaidi
 
Back
Top Bottom