Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,791
Hapa si mnajifanya kuwatumbua wakurugenzi, eti hamuungi mkono kupanda kwa bei, soon and very soon, bei ya Petrol itapanda kutokana na kupungua kwa output kwenye soko la Dunia.
Pale EWURA watakapotoa kibali cha kupanda bei ya Petrol, mjitokeze tena kutengua maamuzi ya EWURA, alafu muwatumbue wakurugenzi wa makampuni ya uagizaji mafuta...
Pale EWURA watakapotoa kibali cha kupanda bei ya Petrol, mjitokeze tena kutengua maamuzi ya EWURA, alafu muwatumbue wakurugenzi wa makampuni ya uagizaji mafuta...