TANESCO ni mechi ya Mchangani, subirini litapokuja suala la kupanda bei ya Petrol!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,660
15,744
Hapa si mnajifanya kuwatumbua wakurugenzi, eti hamuungi mkono kupanda kwa bei, soon and very soon, bei ya Petrol itapanda kutokana na kupungua kwa output kwenye soko la Dunia.

Pale EWURA watakapotoa kibali cha kupanda bei ya Petrol, mjitokeze tena kutengua maamuzi ya EWURA, alafu muwatumbue wakurugenzi wa makampuni ya uagizaji mafuta...
 
Hapa c mnajifanya kuwatumbua wakurugenzi, eti hamuungi mkono kupanda kwa bei, soon and very soon, bei ya Petrol itapanda kutokana na kupungua kwa output kwenye soko la Dunia.
Pale EWURA watakapotoa kibali cha kupanda bei ya Petrol, mjitokeze tena kutengua maamuzi ya eWURA, alafu muwatumbue wakurugenzi wa makampuni ya uagizaji mafuta...
Kama kuna mlengwa, litafanyika. Kama hakuna wa kule, kuleeeeeeeeeeeeeeeeeee .........................
 
Hapa c mnajifanya kuwatumbua wakurugenzi, eti hamuungi mkono kupanda kwa bei, soon and very soon, bei ya Petrol itapanda kutokana na kupungua kwa output kwenye soko la Dunia.
Pale EWURA watakapotoa kibali cha kupanda bei ya Petrol, mjitokeze tena kutengua maamuzi ya eWURA, alafu muwatumbue wakurugenzi wa makampuni ya uagizaji mafuta...
Acha ushabiki hili swala halihitaji hasira. Ni case by case pole sana kama ufahamu wako unaona ni sawa kupandisha bei ya umeme. Labda huenda unahusika kwa namna moja au nyingine tukumbushe tu sababu hasa za kutaka kuongeza bei kwa 8%
 
Unalinganisha umeme na mafuta? Soko la mafuta halitegemei nchi yetu pekee, ni swala la kidunia. Umeme tunazalisha wenyewe na kusambaza wenyewe, sioni mantiki ya hoja yako.
Ukiona hivi,jua hii ni nyumba ndogo ya yule aliyetumbuliwa leo.
 
mkuu mbona unalialia vipi huu utenguzi umekuathiri nini isije kuwa ni ndugu wa mtumbuliwa
 
Unalinganisha umeme na mafuta? Soko la mafuta halitegemei nchi yetu pekee, ni swala la kidunia. Umeme tunazalisha wenyewe na kusambaza wenyewe, sioni mantiki ya hoja yako.

Aisee...Lord have Mercy on us.
 
Kweli kabisa Eli79 naona mtoa mada kama amepungukiwa kidogo fahamu maana mwanzo alianza kuiponda serikali juu ya upandaji Wa umeme na sasa tena anaponda simuelewi huyu jamaa
 
Huyu mtoa mada akachunguzwe kwanza uwezo wake wa kufikiri. Bro jitahidi kuwa unabakisha akiba ya maneno ili usije kuumbuka.
 
Unalinganisha umeme na mafuta? Soko la mafuta halitegemei nchi yetu pekee, ni swala la kidunia. Umeme tunazalisha wenyewe na kusambaza wenyewe, sioni mantiki ya hoja yako.
Mkuu, ikiwezekana rudi basi kidogo shule ukapanue ufahamu wako. Iko hivi input factors of production kuna fixed assets kama plant and equipment, hizi waya zote za umeme, insulators nguzo, mafuta ya kulainishia mitambo, mafuta ya kuendeshea mitambo kama diesel n.k vyote hivi vinatoka nje ya nchi... Hata gharama ya umeme wa maji bado itakuwa affected na input factors of production...
 
Kweli kabisa Eli79 naona mtoa mada kama amepungukiwa kidogo fahamu maana mwanzo alianza kuiponda serikali juu ya upandaji Wa umeme na sasa tena anaponda simuelewi huyu jamaa
Ni kweli hakuna mtu anayefurahishwa kwa kupanda gharama za maisha hasa za huduma muhimu kama umeme, lakini tukae kukubali kuwa shirika linahitaji kuuza bidhaa zake above the cost of production, hivi unavyozungumza mvua kidogo ikinyesha umeme unakatika kutokana na uhafifu wa miundo mbinu, so bila shirika kupata mapato ya kutosha, kujiendesha lenyewe bila kupandisha bei ya umeme au kupata ruzuku itakuwa ni ndoto...
 
Unalinganisha umeme na mafuta? Soko la mafuta halitegemei nchi yetu pekee, ni swala la kidunia. Umeme tunazalisha wenyewe na kusambaza wenyewe, sioni mantiki ya hoja yako.
Shallow analysis, myopic, wewe unatengezeza nyaya, transformer, magari, meter, production infrastructure at the production plants. Ukiondoa maji, vilivyobaki vyote, vyote, vyote, vinatoka nje, tena nchi za kibepari.
 
Unaweza kudhani ni shallow analysis, lakini kumbuka tanesco wanapata ruzuku hadi kesho, ni shirika pekee lenye potential ya kujiendesha lakini haliwezi. Mikataba mibovu inaliumuza shirika, transformers zipo za wazawa, in the end mnaenda kuagiza abroad.

Huwezi kulinganisha mafuta na umeme, labda kama ile 8% umeikosa wewe, endelea kulalama hapo.
 
Acha ushabiki hili swala halihitaji hasira. Ni case by case pole sana kama ufahamu wako unaona ni sawa kupandisha bei ya umeme. Labda huenda unahusika kwa namna moja au nyingine tukumbushe tu sababu hasa za kutaka kuongeza bei kwa 8%
Do not be silly, umemsikiliza Mramba? Unatoa hukumu ex-parte!
 
Unalinganisha umeme na mafuta? Soko la mafuta halitegemei nchi yetu pekee, ni swala la kidunia. Umeme tunazalisha wenyewe na kusambaza wenyewe, sioni mantiki ya hoja yako.
Kwani vipuri vya mitambo ya umeme tunazalisha wenyewe? Vitu vingi vinavyotumika kwenye umeme kuanzia production na distribution vinatoka nje, na ukae ukijua ata mafuta ya transfomer yanatoka nje. Issue ya kumfuta mtu kazi wanakua wameishapanga ila wanatafuta kijisababu, ndio maana anafukuzwa leo, siku hiyo hiyo anateuliwa mwingine.
 
Unalinganisha umeme na mafuta? Soko la mafuta halitegemei nchi yetu pekee, ni swala la kidunia. Umeme tunazalisha wenyewe na kusambaza wenyewe, sioni mantiki ya hoja yako.

The right perspective!
Umeliweka vizuri sana mkuu.
 
Akuna mzawa anaye zalisha transformer tanzania tuulizane wire zinatoka wapi? sisi tunazungusha tu ile mitatio mafuta yakipanda ghalama zote zitapanda maswala ya tahaluma na utalamu tusihingize siasa
 
Back
Top Bottom