JS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2009
- 2,064
- 506
Wadau wa JF,
Kwa kweli hili suala la mgao wa umeme TENA nchi nzima limenisikitisha sana. TANESCO sucks big time na uongozi wake wote. Iweje watangaze umeme utakuwa historia halaf ndani ya miezi michache tunapata habari ya MGAO mwingine utakaozidi masaa 12??
Kwani hawajui hasara inayokumba nchi nzima katika suala zima la MAPATO umeme ukikosekana??? Na hao wawekezaji tunaopaswa kuwaencourage waje kuwekeza, watakuja kweli kwa hali hii???
Katika pitapita zangu nimepata slogan mpya kutokana na shida hii ya umeme. Mhe. JK alitoa slogan ya UKIMWI kwamba TZ bila ukimwi inawezekana. Kuhusu UMEME inageuzwa inakuwa hivi, TZ BILA UMEME HAIWEZEKANI KABISA kuishi na kufanya biashara na kufanya kazi yoyote inayohusu maendeleo. Natamani angeliona tatizo hili JK kwa undani zaidi kama ambavyo aliona tatizo la ukimwi.
Ninaanza kuchoka na nchi yangu hii. I wish i wasnt born here at times or not born at all nisione mambo haya!!!!!!!!!