Akasankara
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 4,268
- 5,815
Huko Mwanza ndiko wamejitanabahisha kuwa ni kipenzi Cha Rais wa wanyonge kwamba ndio waliompa kura nyingiNa huku Mbeya wanamsaliti nani, make nako ni hivyo hivyo, kila siku kuanzia saa moja hakuna umeme, hata sasa maeneo yote ya nane nane, ilomba n.k hakuna umeme na ni wiki sasa inakuwa hivyo kila siku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo jiji la Mwanza kikazi, na nimefikia Nyasaka kwenye hoteli/guest maeneo ya Bundesliga.
Kila siku saa moja mpaka saa tatu au tano usiku, umeme umekuwa unakatika, bila taarifa wala maelezo.
Huu upumbavu tulikuwa tunauona kipindi cha Kikwete, lakini naona sasa imekuwa too much.
Hawa jamaa hawatoi taarifa wala habari. Wapo wapo tu kama vile wapo.
Wanaweza wakawa wakaeleza kinachoendelea?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko Buchosa ndo kama fani huwa wanakata hovyo hovyo.Sio mwanza tu ata sisi tulioko wilayani tatizo ni hilo hilo Buchosa tumekaa siku tatu bila ya huduma ya umeme
Sent using Jamii Forums mobile app
Sengerema huko kila baada ya dk kadhaa unaka mara una rudi na wala hakuna tamko lolote.Naona kila ikifika saa 10 jioni wanakata umeme na wakikata na unaweza usirudi mpaka siku inayofata. Nakumbuka zamani walikuwa na utaratibu wa kutuhabarisha kuwa sasa kuna mgao lkn sikuizi sisikii tena sijui wanakwama sikuizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili shirika sijui lina tatizo gani alafu viongozi wetu wamekaa kimyaSengerema huko kila baada ya dk kadhaa unaka mara una rudi na wala hakuna tamko lolote.
Yaani haya mafanyakazi ya hiyo idara ya giza sijui ni machawi?Naona kila ikifika saa 10 jioni wanakata umeme na wakikata na unaweza usirudi mpaka siku inayofata. Nakumbuka zamani walikuwa na utaratibu wa kutuhabarisha kuwa sasa kuna mgao lkn sikuizi sisikii tena sijui wanakwama sikuizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Dar es Salaam piaNaona kila ikifika saa 10 jioni wanakata umeme na wakikata na unaweza usirudi mpaka siku inayofata. Nakumbuka zamani walikuwa na utaratibu wa kutuhabarisha kuwa sasa kuna mgao lkn sikuizi sisikii tena sijui wanakwama sikuizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Maboss wa TANESCO wajitathmini kama bado wanafaa kuendelea na nafasi zaoMuda huu pia hakuna umeme....tangu asubuhi mpaka sasa umeme umekatika mara kibao yaani....kila baada ya muda mchache umeme unakata.....yaan ni shida tuu.....ni jipu kabisa hili...