Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 31,919
- 33,360
Kichwa cha habari kinajieleza, inafaa mnapokata umeme mtoe taarifa kwa wakazi wa maeneo husika ili tutambue katizo hilo ni official, msipotoa taarifa mnakosa ushirikiano wa wananchi kuweka attention kwenye transforma zenu ambapo mara nyingi wengi huwa tunadhani mmekata kwaajili ya matengenezo kumbe mafundi wenu wanatumia giza hilo kuiba mafuta kwenye tranforma zenu, imeshatokea mara kadhaa transforma zinakamuliwa mafuta kukiwa giza.
Nawasilisha
Nawasilisha