Wapi ukoo Mkuu ? Maana uku kwetu pia akunaJama Luku, leo hakuna umeme mpaka sasa hivi. Mlaaniwe milele
Juzi umeme umekatika usiku pia kulikuwa na mvua vibaka wakatumia huo mwanya kuiba drum langu la liter 250 Yan nimeumia sana mbaya zaidi walimwaga maji Kisha wakaibaHawa jamaa hawajali kama upo chooni au Lah wanakata tu
TangaWapi ukoo Mkuu ? Maana uku kwetu pia akuna
Pole sanaJuzi umeme umekatika usiku pia kulikuwa na mvua vibaka wakatumia huo mwanya kuiba drum langu la liter 250 Yan nimeumia sana mbaya zaidi walimwaga maji Kisha wakaiba
Pole sana mkuu ila sijui kwanini nimechekaJuzi umeme umekatika usiku pia kulikuwa na mvua vibaka wakatumia huo mwanya kuiba drum langu la liter 250 Yan nimeumia sana mbaya zaidi walimwaga maji Kisha wakaiba
Naunga nkono hojaJana Luku, leo hakuna umeme mpaka sasa hivi. Mlaaniwe milele
Kwetu bado subili tuungojeeUmerudi sasa hivi. Saa 2:13. Walaaniwe maana hii si sawa. Wapigwe na shoti ya KW 10,000 wawe jivu
Duh poleJuzi umeme umekatika usiku pia kulikuwa na mvua vibaka wakatumia huo mwanya kuiba drum langu la liter 250 Yan nimeumia sana mbaya zaidi walimwaga maji Kisha wakaiba
Hakika..Jana Luku, leo hakuna umeme mpaka sasa hivi. Mlaaniwe milele
Huku badoUmerudi sasa hivi. Saa 2:13. Walaaniwe maana hii si sawa. Wapigwe na shoti ya KW 10,000 wawe jivu
pole sanaJuzi umeme umekatika usiku pia kulikuwa na mvua vibaka wakatumia huo mwanya kuiba drum langu la liter 250 Yan nimeumia sana mbaya zaidi walimwaga maji Kisha wakaiba
Hawa wangelipwa mishahara kwa masaa ya uwepo wa umeme akili zzingewarudi sawaJana Luku, leo hakuna umeme mpaka sasa hivi. Mlaaniwe milele