Mnanje Boy
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 453
- 1,410
Sasa Mkuu apo utabaki kusema tanesco wamelaaniwa maana huna mbinu nyingineThat is damn expensive for domestic use of a family of 4
Sasa Mkuu apo utabaki kusema tanesco wamelaaniwa maana huna mbinu nyingineThat is damn expensive for domestic use of a family of 4
Ujazo gani maana kama ni kubwa say 3000 litres it will take quite sometime to drain....muda wote mtu hajashituk usingizini? Maana tukilala huwa tunashituka shituka kusikiliza nje kuna nini.....Haha..kuna jirani yangu aliibiwa tank la maji. Kwa kuwa lilikuwa na maji walikuja na kigodoro wakakiweka chini ya koki wakafungulia maji ili yakiwa yanamwagika mwenye nyumba asisikie. Jirani anaamka asubuhi anakuta godoro bichi na tank wameenda nalo
Kwa hali ya umeme ilivyo, ipo siku nitaifunga hiyo maana kuna muda napata losses kweli.That is damn expensive for domestic use of a family of 4
Na kweli...labda solar kuwasha taa .Sasa Mkuu apo utabaki kusema tanesco wamelaaniwa maana huna mbinu nyingine
Kama una biashara kubwa that makes a lot of senseKwa hali ya umeme ilivyo, ipo siku nitaifunga hiyo maana kuna muda napata losses kweli.
Oyaa sio poa tulichoka tukasema wezi hawaishiwi mbinuAh ah nimecheka sana Yani ilo tukio walilipanga muda mrefu sana hadi waje na gorodo sio poa
Hao wezi njaa sanaHaha..kuna jirani yangu aliibiwa tank la maji. Kwa kuwa lilikuwa na maji walikuja na kigodoro wakakiweka chini ya koki wakafungulia maji ili yakiwa yanamwagika mwenye nyumba asisikie. Jirani anaamka asubuhi anakuta godoro bichi na tank wameenda nalo
Hata ingekuwa lita 5000 huwezi kushtuka, wezi ni watu wa timing sana.Ujazo gani maana kama ni kubwa say 3000 litres it will take quite sometime to drain....muda wote mtu hajashituk usingizini? Maana tukilala huwa tunashituka shituka kusikiliza nje kuna nini.....
Njaa mbaya sana mkuu. Wakati wewe unaumiza kichwa kuwa mbunifu labda kwenye biashara zako. Wezi nao wanakaa chini wanabuni mbinu mpya za kuibaHao wezi njaa sana
Ah ah eti atakuja kama mwizi, sema Mkuu yani ukiibiwa watu wanaweza sema wewe ni mzembe maana unaibiwaje kitu kama tank lakini yakikukuta ndio itajua jinsi waizi wanavyo ludisha maendeleo nyumaHata ingekuwa lita 5000 huwezi kushtuka, wezi ni watu wa timing sana.
Maandiko hayakosei yanaposema siku ya Mungu itakuja kama mwizi endeleeni kukaa macho, kesheni mkisali
Hawatabiriki
Yaani kwa kifupi mtu akiibiwa usimcheke, mpe pole na ujifunzeAh ah eti atakuja kama mwizi, sema Mkuu yani ukiibiwa watu wanaweza sema wewe ni mzembe maana unaibiwaje kitu kama tank lakini yakikukuta ndio itajua jinsi waizi wanavyo ludisha maendeleo nyuma
Tunaishi kwa wasiwasi sana maana haujui hivi leo umeme utakuwepo siku nzima au kuna mida watakata. Sasa maisha gani haya? Wengine nasikia wanalalamika leo siku ya 3 luku inazinguaTanesco ni janga
AminaJana Luku, leo hakuna umeme mpaka sasa hivi. Mlaaniwe milele
mkuu sisi huku wanakata asubuhi wanarudisha saa moja usiku wanatuachia dakika 20 alafu wanakata tena wanarudisha saa 6 usikuJana Luku, leo hakuna umeme mpaka sasa hivi. Mlaaniwe milele
POLEmkuu sisi huku wanakata asubuhi wanarudisha saa moja usiku wanatuachia dakika 20 alafu wanakata tena wanarudisha saa 6 usiku
Hili shirika linafanya vitu makusudi ili kutuibia sisi wananchi na Mama Samia yupo tu na safari zake za uarabuni zisizoisha, haonii tatizo lolote. Kila kukicha wanakuja na visingizio kibao na hawana jipya kwa sasa, wamebaki tu kuwa shirika incompetent lenye kulitia taifa hasara kila mwaka.Jana Luku, leo hakuna umeme mpaka sasa hivi. Mlaaniwe milele
Na Mama Samia yupo tu anamung'unya njugu, hana kabisa habari na wananchi wake. Kwa kweli CCM ni laana tupu.sasa hivi washakata tena