- Thread starter
- #61
Samia is a failed PresidentHili shirika linafanya vitu makusudi ili kutuibia sisi wananchi na Mama Samia yupo tu na safari zake za uarabuni zisizoisha, haonii tatizo lolote. Kila kukicha wanakuja na visingizio kibao na hawana jipya kwa sasa, wamebaki tu kuwa shirika incompetent lenye kulitia taifa hasara kila mwaka.
