Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 15,710
- 33,876
Chuki na ushamba ! Mlizoea wizi na kazi hamfanyi kila siku mnasafiri kama watalii .
Kusafiri wala haipo kwenye ufanisi wa kazi,hao ni wafanyakazi wavivu wanaopenda kula bataKwahiyo safari ni haki ya mfanyakazi??
Story flani hivi.Katika hali ya kustaajabisha, maafisa na wafanyakazi wa kawaida wa Kampuni ya Umeme Tanzania (TANESCO) walirukaruka kwa furaha baada ya kusikia na kujua uhamisho wa aliyekuwa Waziri wa Nishati Januari Makamba. Maafisa na watumishi hao wa Makao Makuu ya TANESCO walionesha furaha yao ya wazi kwakuwa walikuwa 'hawamtaki' Waziri Januari Makamba.
Wana-TANESCO wanashukuru na kumkaribisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Daktari Doto Biteko na kujiapiza kufanya naye kazi vyema. Hatahivyo, watumishi hao wamedai kuwa wanaendelea na maombi na mfungo wao ili Mungu amuongoze Rais Samia kumuondoa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Maharage Chande.
Makamba na Chande ambao ni marafiki wa karibu wa muda mrefu walikuwa hawakubaliki na wafanyakazi wa TANESCO kwa kile kinachosemwa kuwa wana kiburi, dharau na waligusa na kuondoa haki mbalimbali za wafanyakazi zikiwamo kufutwa kwa safari za kikazi. Nyaraka za ki-TANESCO zinaonesha kuwa kuna safari nyingi-hata zile zenye umuhimu ambazo zimefutwa na Chande kwa maelekezo ya Makamba.
Maombi ya wana-TANESCO yatafanikiwa?
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Popote pale,Unapoondoka na ukaona wale wanaobaki wanafurahi uondikaji wako,Jua wewe ni Jembe
Tanzania kuendelea kwa style hii ni ndotoKatika hali ya kustaajabisha, maafisa na wafanyakazi wa kawaida wa Kampuni ya Umeme Tanzania (TANESCO) walirukaruka kwa furaha baada ya kusikia na kujua uhamisho wa aliyekuwa Waziri wa Nishati Januari Makamba. Maafisa na watumishi hao wa Makao Makuu ya TANESCO walionesha furaha yao ya wazi kwakuwa walikuwa 'hawamtaki' Waziri Januari Makamba.
Wana-TANESCO wanashukuru na kumkaribisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Daktari Doto Biteko na kujiapiza kufanya naye kazi vyema. Hatahivyo, watumishi hao wamedai kuwa wanaendelea na maombi na mfungo wao ili Mungu amuongoze Rais Samia kumuondoa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Maharage Chande.
Makamba na Chande ambao ni marafiki wa karibu wa muda mrefu walikuwa hawakubaliki na wafanyakazi wa TANESCO kwa kile kinachosemwa kuwa wana kiburi, dharau na waligusa na kuondoa haki mbalimbali za wafanyakazi zikiwamo kufutwa kwa safari za kikazi. Nyaraka za ki-TANESCO zinaonesha kuwa kuna safari nyingi-hata zile zenye umuhimu ambazo zimefutwa na Chande kwa maelekezo ya Makamba.
Maombi ya wana-TANESCO yatafanikiwa?
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Katika hali ya kustaajabisha, maafisa na wafanyakazi wa kawaida wa Kampuni ya Umeme Tanzania (TANESCO) walirukaruka kwa furaha baada ya kusikia na kujua uhamisho wa aliyekuwa Waziri wa Nishati Januari Makamba. Maafisa na watumishi hao wa Makao Makuu ya TANESCO walionesha furaha yao ya wazi kwakuwa walikuwa 'hawamtaki' Waziri Januari Makamba.
Wana-TANESCO wanashukuru na kumkaribisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Daktari Doto Biteko na kujiapiza kufanya naye kazi vyema. Hatahivyo, watumishi hao wamedai kuwa wanaendelea na maombi na mfungo wao ili Mungu amuongoze Rais Samia kumuondoa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Maharage Chande.
Makamba na Chande ambao ni marafiki wa karibu wa muda mrefu walikuwa hawakubaliki na wafanyakazi wa TANESCO kwa kile kinachosemwa kuwa wana kiburi, dharau na waligusa na kuondoa haki mbalimbali za wafanyakazi zikiwamo kufutwa kwa safari za kikazi. Nyaraka za ki-TANESCO zinaonesha kuwa kuna safari nyingi-hata zile zenye umuhimu ambazo zimefutwa na Chande kwa maelekezo ya Makamba.
Maombi ya wana-TANESCO yatafanikiwa?
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Wabongo wamezoea kufanya kazi kwa mazoea yaani wanataka ukiwa Boss uwachekee hata kama wanaharibu kazi hapo ndio wanakusifia kwamba wewe ni Boss mzuri ila Boss anayehimiza kufanya kazi kwa bidii anaonekana mbaya na kugeuka adui wa wengi.Tanzania kuendelea kwa style hii ni ndoto
Wanataka mkurugenzi aondolewe kwa kuzuia safari?
👍👍Jamaa yupo smart sana.. Sema watu tuna tabia ya kupenda kuangalia mabaya ya watu.. hatujui mazuri wala hatutaki kuona mazuri yake ndio shida ipo hapo.. But jamaa yupo smart sana
Mbongo kila sekta akataye kaa mtu ni kilio tuChuki na ushamba ! Mlizoea wizi na kazi hamfanyi kila siku mnasafiri kama watalii .
Je kuna sababu japo moja iliyotolewa? ya kuelezea ni kwanini walikuwa "hawamtaki"walionesha furaha yao ya wazi kwakuwa walikuwa 'hawamtaki' Waziri Januari Makamba.
Huwezi kujua, labda mleta mada ni mdau wa muhamishwa anajaribu kupunguza machungu kwa kuwapaka matope wadau!Kama sababu ni kufutwa kwa safari basi wenyewe ndio tatizo