Tetesi: TANESCO 'kwazizima' Makamba kuhamishwa Nishati. Waendelea na 'mfungo'

Katika hali ya kustaajabisha, maafisa na wafanyakazi wa kawaida wa Kampuni ya Umeme Tanzania (TANESCO) walirukaruka kwa furaha baada ya kusikia na kujua uhamisho wa aliyekuwa Waziri wa Nishati Januari Makamba. Maafisa na watumishi hao wa Makao Makuu ya TANESCO walionesha furaha yao ya wazi kwakuwa walikuwa 'hawamtaki' Waziri Januari Makamba.

Wana-TANESCO wanashukuru na kumkaribisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Daktari Doto Biteko na kujiapiza kufanya naye kazi vyema. Hatahivyo, watumishi hao wamedai kuwa wanaendelea na maombi na mfungo wao ili Mungu amuongoze Rais Samia kumuondoa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Maharage Chande.

Makamba na Chande ambao ni marafiki wa karibu wa muda mrefu walikuwa hawakubaliki na wafanyakazi wa TANESCO kwa kile kinachosemwa kuwa wana kiburi, dharau na waligusa na kuondoa haki mbalimbali za wafanyakazi zikiwamo kufutwa kwa safari za kikazi. Nyaraka za ki-TANESCO zinaonesha kuwa kuna safari nyingi-hata zile zenye umuhimu ambazo zimefutwa na Chande kwa maelekezo ya Makamba.

Maombi ya wana-TANESCO yatafanikiwa?

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Story flani hivi.
We ni mtunzi mzuri...
 
Tanzania kuendelea kwa style hii ni ndoto

Wanataka mkurugenzi aondolewe kwa kuzuia safari?
 
The boss ebu tia neno tafadhari
 
Tanzania kuendelea kwa style hii ni ndoto

Wanataka mkurugenzi aondolewe kwa kuzuia safari?
Wabongo wamezoea kufanya kazi kwa mazoea yaani wanataka ukiwa Boss uwachekee hata kama wanaharibu kazi hapo ndio wanakusifia kwamba wewe ni Boss mzuri ila Boss anayehimiza kufanya kazi kwa bidii anaonekana mbaya na kugeuka adui wa wengi.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Wazawa wazalendo tunafikilia muondoke mnaolilia Safari tanesco ingizwe ktk ushindani wa kihiashara na ujuzi ibakie na idara mbili tu ya kuza umeme na kukusanya mapato Kodi serikali idara zingine zote ziondolewe kuanzia usambazi umeme na matengenezo na kunganisha wateja ktk sekta binafsi wakandarasi wafanye kazi iyo kwa ushindani kunga wateja na sekta binafsi wauze vifaa vya service line mpaka nguzo na meter isajiriwe Kama line sm technical information on line technology kisasa nyie muondoke mnatutia asala Kaz kulilia Safari ufikili wateja umeme unakatikatika kwasababu kukosa ujuzi mhandis ajui ata transformer Ina wateja wangapi na kila phace ina wateja wangapi before new customer connection muondoke sekta binafsi ilete tija kwa taifa ktk ushindani wa kibiashara wakandarasi kuleta mapato ya taifa amtoshi kuanzia wakurugenzi mpaka bodi amfikili kulingiza shirika ktk ushindani wa kibiashara wakandarasi sekta binafsi kuongeza kazi usambazi umeme na matengenezo kunga wateja kwa wingi amtoshi ipo siku mungu atamzindua mkuu wa mzalendo kuvunja shirika libaki kuza umeme tu na kukusanya mapato Kodi
 
Wabongo wanafikiri shida zitaisha haya makamba hyo mambo ya nje
Mfateni napo...

Ova
 
Ufanisi wa TANESCO kwa Kazi nyingi za za Shirika ni more Mechanical than Technical.

Hao mabest wawili wa wizara they are too technical.

1.Dotto Biteko awe waziri Nishati ✓

2.Felchesm Mramba awe Mkuregenzi mtendaji wa Shirika✓

na

Sospeter Muhongo aweKatibu mkuu✓

Then wote wawe na good spirit na wawéwawe kitu kimoja_
 
Ngoja namimi niwasaidi wafanyakazi wa tanesco kwa maombi na kufunga ikiwezekana wapumzike kwa amani kabisa,haiwezekani bwawa la nyerere lizalishe umeme mwingi wa ziada alafu wao tanesco wagome kutushushia bei ya unit.
 
Back
Top Bottom