HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,313
- 103,537
Acha upotoshajiIyo 120/unit ni bei ya mwenda zake.
355/unit ndio bei halisi ya umeme
Acha upotoshajiIyo 120/unit ni bei ya mwenda zake.
355/unit ndio bei halisi ya umeme
Acha upotoshaji
Hizi ndio bei halisi za umeme toka mwaka 2016 hivyo tuendelee kupokea taarifa sahihiAcha upotoshaji
Mtu anaweza kutolewa kutoka tarrif moja kwenda nyingine endapo atazidisha matumizi mfululizo kwa muda gani?Hizi ndio bei halisi za umeme toka mwaka 2016 hivyo tuendelee kupokea taarifa sahihi
Miezi mitatu mfululizo, Vigezo na masharti visingingatiweMtu anaweza kutolewa kutoka tarrif moja kwenda nyingine endapo atazidisha matumizi mfululizo kwa muda gani?
Mkuu mnaweka lini nyaya dodoma michese??tupokazini
View attachment 2306985
Mkuu naomba jibu tunateseka SanaMiezi mitatu mfululizo, Vigezo na masharti visingingatiwe
Nikonekt mambo safiii, Ahsante kwa ushuhuda mzuriNaomba tu niwe shuhuda kuwa Mimi nipo Dar na nilisota karibia miaka miwili kuomba hii huduma enzi za Chato bila Mafanikio. Ila mwaka huu mwanzoni nilienda kuomba na ndani ya wiki wakanibadilishia. Sasa hivi najiachia tu
Tafadhali onesha namba ya mita kwa maelezo sahihiMimi Nikiri Tanesco Kwenye Watumiaji Wa Umeme Ambao Hawazidi Unit 75
Mtu Akienda Kwenye Ofisi Zenu Za Wilaya, Mkoa, Mmekuwa Mnakataa
MMajibu Y anayotolewa Ndiyo Kama Mleta Mada Alivyosema
Utaambiwa Huduma Hiyo Haipo Hata Ukiandika Barua Hawaipokei
Sasa Unajiuliza Kwanini Mnakuwa Na Ndimi Mbili
Unachosema Jukwaani Kingine, Ukifika Kwenye Ofisi Zenu Kingine
NimekutumiaTafadhali onesha namba ya mita kwa maelezo sahihi
na hizo ndo kauli zao huku mikoani. maana mimi nina miezi mitatu. nilivyoenda kuulizia utaratibu wa kubadilishiwa nikajibiwa kwamba hiyo huduma haipo kwa mijiniMimi Nikiri Tanesco Kwenye Watumiaji Wa Umeme Ambao Hawazidi Unit 75
Mtu Akienda Kwenye Ofisi Zenu Za Wilaya, Mkoa, Mmekuwa Mnakataa
MMajibu Y anayotolewa Ndiyo Kama Mleta Mada Alivyosema
Utaambiwa Huduma Hiyo Haipo Hata Ukiandika Barua Hawaipokei
Sasa Unajiuliza Kwanini Mnakuwa Na Ndimi Mbili
Unachosema Jukwaani Kingine, Ukifika Kwenye Ofisi Zenu Kingine
Kabisana hizo ndo kauli zao huku mikoani.
Haipo sahihiNimekutumia
Nipo usa river Arumeru, matumizi yangu hayajawahi kufika unit 75 tangu niwe na umeme nyumbani zaidi ya miaka 9, Mwezi uliopita yaani Juni 2021 nimebadilishiwa matumizi kuwa ya juu baada ya kupata meseji ya keychange na mabadiliko kuanzia hapo, Kwa sababu ulizotaja hapo usa river napo ni mjini?Ndugu mteja
Tafadhali pokea ufafanuzi sahihi kutoka TANESCO, tunakujulisha kuwa bei ya umeme hainajabadilika toka mwaka 2016 ilivyoidhinishwa na mdhibiti ( EWURA),
Kuna makundi manne ya watumiaji wa umeme kama ifuatavyo
-D1 (UNIT 0-75) BEI NI TSH 100 KWA UNIT IKIZIDI UNIT 75 INAKUWA TSH 350 (YAANI UMEME WA 9150 KWA MWEZI)
Masharti[emoji116][emoji116]
1.Makazi ya kijijini
2.Matumizi ya nyumbani
3.Wastani wa matumizi usizidi unit 75 kwa mwezi
-T1 UNIT zaidi ya 75 to 7500 Bei ni 292 per unit,Hakuna tozo ya kila mwezi
-T2 Gharama kwa mwezi ni 14,233, gharama ya umeme kwa ni 195 kwa unit
T3- M - gharama ya huduma kwa mwezi ni 16,769 na bei ni tsh 157 kwa unit
T3-gharama ya huduma kwa mwezi ni 16,550 na bei ni 152 kwa unit
Bei zote ni bila VAT 18% REA 3% na EWURA 1%
Tafadhali onesha namba ya mita kwa maelezo sahihiNipo usa river Arumeru, matumizi yangu hayajawahi kufika unit 75 tangu niwe na umeme nyumbani zaidi ya miaka 9, Mwezi uliopita yaani Juni 2021 nimebadilishiwa matumizi kuwa ya juu baada ya kupata meseji ya keychange na mabadiliko kuanzia hapo, Kwa sababu ulizotaja hapo usa river napo ni mjini?
Nitatuma PMTafadhali onesha namba ya mita kwa maelezo sahihi
Ipo Sahihi Ndiyo Ninayoitumia Kila Ninapotaka Kununua UmemeHaipo sahihi