moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,948
Niko kijiji cha Kwamtoro hapa dodoma.
Kupitia Nikonekti ,mkandarasi amewasilisha taarifa za wiring juzi kesho tanesco wanakuja kufanya tathimini zao na kufunga mita.
Wakibabaisha kesho ntakuja hapa jukwaani.
Mana walisema leo wakasema watakuja kesho.