Tareqmachoo
New Member
- Dec 31, 2024
- 4
- 8
KERO...Mpaka Leo sijapata contorl number wiki 2 zimepita.. surveyor tayari kafika nampigia anasema hukuna mtandao .. napiga huduma kwa wateja 180 wameniambie niende Office... mnatengeneza ukırıtımba mazıngıra ya
RUSHWA... kuna umuhimu gani mm kwenda office wakati namba ya huduma kwa wateja ipo mm niende office kufanya nini ... umeme mniuzie bado tena nipate shida kupata control number... kwani msiige utendaji kazi wa @dawasatz...
surveyor wa Dawasa akifika leo kesho unapata control number kesho kutwa maji unapata....Eneo langu halihitaji nguzo ni kuvuta wire tu na niko mjini, je waliyoko vijijini itakuwaje...
@tanesco_official_page nendeni mkachukuwe elimu ya ufanyaji kazi @dawasatz
Application nimefanya kupitia namba 0659 172 401
Cc
@wizara_ya_nishati_tanzania