Tanesco: wateule wa Rushwa

El Roi

JF-Expert Member
May 29, 2020
263
502
Kuna mashirika ambayo pamoja na nchi kuwa na mamlaka zinazosimamia utekelezaji wa sheria ( law enforcement entities) bado yenyewe hayaguswi na hilo. They are immune to laws of the land .

Tanesco ni shirika ambalo kweli nashangaa kama lina mifumo na kama vyombo vya serikali vya kutekeleza sheria vinaliona shirika hili.

Nadiriki kusema rushwa iliyoko Tanesco bila shaka imeruhusiwa na nchi iwe hivyo ilivyo.

Mimi ni mteja niliye jaza fomu ya kuomba umeme tangu mwaka 2019. Mwaka 2020 maeneo yote ya waliomba huduma hiyo yalipewa umeme isipokuwa maeneo machache na langu likiwepo. Katika kufuatilia Kwa Nini maeneo kadhaa yamerukwa, niliambiwa maeneo hayo survey haikufanyika. Maelezo hayo yalinishangaza kwa sababu hili kilikuwa eneo la mradi na surveyor alikuja mpaka kwetu.

Baada ya kulalamika sana, tuliletewa Tena surveyor ambaye hata hivyo michoro yake hakuipeleka mahali husika.

Baadae nikauona uongozi hata hivyo nikaambiwa hata bila kificho na moja ya wafanyakazi kwamba nijiongeze bila hivyo umeme itakuwa hadithi. Nilidhani anatania , lakini kweli imekuja kuwa hivyo. Tanesco wakihongwa watakupa huduma hiyo within no time, nguzo zitapatikana, na hiyo control number utaitwa haraka na umeme utakufikia.

Nimeshuhudia kwa macho yangu nguzo zinafichwa mpaka mtaani zikisubiri wenye hongo watoe ili huduma iwafuate, nimeshuhudia umeme ukiwekwa kupitia nahali popote mara mtu anapotoa rushwa. Nimekutana na maroli yenye nguzo watu wakiwa wanauza nguzo shilingi 50 000 kwa nguzo, ukienda usiye na rushwa unaambiwa " nguzo hakuna tunasubiri budget ya serikali'. Mwaka wa budget mpaka unakwisha, bado unaambiwa subiri, mwaka wa kwanza wa pili nakuendelea .

Baada ya kuwa nimefanya zoezi hili kwa muda mrefu wa kufuatilia zimwi linaitwa umeme , nikajagundua

1) Rushwa imehararishwa Tanesco.
Usitegemee kupata huduma hii kwa kufuata njia za kawaida.
Maana hata baada ya kuwa nifuata kila nilichoambiwa bado eneo letu hilo dogo la watu wasiotaka kujichangisha halina umeme Wala miundo mbinu yoyote. Nimesema wasiojichangisha Kwa sababu hii ndo lugha tunayoambiwa " changangisheni Ili mpate umeme". Na kweli mahali watu wanachanga umeme utapita hata chini ya ardhi ili aliyetoa rushwa apewe.

2) Hakuna Seniority kabisa.

Baada ya kuwaona mameneja na mpaka wao kuja kuona eneo na kukiri uhitaji wetu ni wa kweli, wafanyakazi wa chini hawatekelezi kabisa maagizo. Nakumbuka mtu mmoja alinambia katika harakati hizi za kutafuta umeme ( Natumia kutafuta maana umeme ni bidhaa adimu chini ya Tanesco hii ya Arusha) jiongeze, maana hao wote ni mfumo ( syndicate).

Sasa naamini Tanesco wote ni kambale na wanajuana sana madeal Yao.

3) Hakuna uendelevu ( consistency)
Tanesco kila mtu ana lake na kusema. Meneja atakwambia vingine, huyu atakwambia hivi na huyu hivi. Mwishoni niliuliza yakini mbona hatupatiwi huduma hii na hasa wakati huu wa budget. Nikaambiwa natakiwa niombe Tena Kwa njia inaitwa e connect. Nikauliza, naombaje Tena wakati ombi langu ni buck logged kwa muda wa miaka karibu minne sasa? Nikaambiwa hiyo ndo njia. Inauma unapoona umeme unafungwa kwingine kama uyoga huku kwetu tukiambiwa jiongeze, omba Kwa e connect nk.

Hapo nyuna mtu aliwahi kusema kwamba umeme wa Tanzania ni siasa. Mimi nasema umeme wa Tanesco Arusha ni rushwa, rushwa, rushwa tupu.

Lakini kwa kuwa sipendi kupuuza ushauri wa mtu najiandaa labda sasa niende kwa wanasiasa kama mkuu wa mkoa hivi au wilaya kuthibitisha kama kweli umeme ni siasa .

Inakera sana.
 
Huu ni ukweli na Mimi ninao ushuhuda kama huo,nilifikisha malalamiko yangu kupitia jukwaa hili,kwenye forum yao ya tupe maoni kuhusu tupe maoni kuhusu huduma za TANESCO,ila Kwa sababu nizijuazo kuhusiana na mifumo fisadi sikuwa tayari kutoa taarifa binafsi,Kwa kuwa shida hii ni ya kitaifa na kulichukua kama ni tatizo la mtu mmoja mmoja ni kulea tatizo,binafsi nilisha fanyiwa survey ila naambiwa form haionekani na kuwa natakiwa kuomba upya kupitia nikonekt pamoja na kuwa nilikuwa tayari kulipika nguzo.
 
Mimi wameniambia wataniungia umeme mwezi wa 8:2022 na sms nikatumiwa..... hadi leo tarehe 20 mwezi huu huu wa nane mwaka huu huu 2022 kuanzia mwaka jana bado bila bila ila kwa vile mwezi haujaisha ngoja niendelee kusubir..
 
Jamani natafuta mganga.... wenyewe wakinidhurumu haki yangu mimi naroga,naroga,narogaaaa...
 
Kuna mashirika ambayo pamoja na nchi kuwa na mamlaka zinazosimamia utekelezaji wa sheria ( law enforcement entities) bado yenyewe hayaguswi na hilo. They are immune to laws of the land .

Tanesco ni shirika ambalo kweli nashangaa kama lina mifumo na kama vyombo vya serikali vya kutekeleza sheria vinaliona shirika hili.

Nadiriki kusema rushwa iliyoko Tanesco bila shaka imeruhusiwa na nchi iwe hivyo ilivyo.

Mimi ni mteja niliye jaza fomu ya kuomba umeme tangu mwaka 2019. Mwaka 2020 maeneo yote ya waliomba huduma hiyo yalipewa umeme isipokuwa maeneo machache na langu likiwepo. Katika kufuatilia Kwa Nini maeneo kadhaa yamerukwa, niliambiwa maeneo hayo survey haikufanyika. Maelezo hayo yalinishangaza kwa sababu hili kilikuwa eneo la mradi na surveyor alikuja mpaka kwetu.

Baada ya kulalamika sana, tuliletewa Tena surveyor ambaye hata hivyo michoro yake hakuipeleka mahali husika.

Baadae nikauona uongozi hata hivyo nikaambiwa hata bila kificho na moja ya wafanyakazi kwamba nijiongeze bila hivyo umeme itakuwa hadithi. Nilidhani anatania , lakini kweli imekuja kuwa hivyo. Tanesco wakihongwa watakupa huduma hiyo within no time, nguzo zitapatikana, na hiyo control number utaitwa haraka na umeme utakufikia.

Nimeshuhudia kwa macho yangu nguzo zinafichwa mpaka mtaani zikisubiri wenye hongo watoe ili huduma iwafuate, nimeshuhudia umeme ukiwekwa kupitia nahali popote mara mtu anapotoa rushwa. Nimekutana na maroli yenye nguzo watu wakiwa wanauza nguzo shilingi 50 000 kwa nguzo, ukienda usiye na rushwa unaambiwa " nguzo hakuna tunasubiri budget ya serikali'. Mwaka wa budget mpaka unakwisha, bado unaambiwa subiri, mwaka wa kwanza wa pili nakuendelea .

Baada ya kuwa nimefanya zoezi hili kwa muda mrefu wa kufuatilia zimwi linaitwa umeme , nikajagundua

1) Rushwa imehararishwa Tanesco.
Usitegemee kupata huduma hii kwa kufuata njia za kawaida.
Maana hata baada ya kuwa nifuata kila nilichoambiwa bado eneo letu hilo dogo la watu wasiotaka kujichangisha halina umeme Wala miundo mbinu yoyote. Nimesema wasiojichangisha Kwa sababu hii ndo lugha tunayoambiwa " changangisheni Ili mpate umeme". Na kweli mahali watu wanachanga umeme utapita hata chini ya ardhi ili aliyetoa rushwa apewe.

2) Hakuna Seniority kabisa.

Baada ya kuwaona mameneja na mpaka wao kuja kuona eneo na kukiri uhitaji wetu ni wa kweli, wafanyakazi wa chini hawatekelezi kabisa maagizo. Nakumbuka mtu mmoja alinambia katika harakati hizi za kutafuta umeme ( Natumia kutafuta maana umeme ni bidhaa adimu chini ya Tanesco hii ya Arusha) jiongeze, maana hao wote ni mfumo ( syndicate).

Sasa naamini Tanesco wote ni kambale na wanajuana sana madeal Yao.

3) Hakuna uendelevu ( consistency)
Tanesco kila mtu ana lake na kusema. Meneja atakwambia vingine, huyu atakwambia hivi na huyu hivi. Mwishoni niliuliza yakini mbona hatupatiwi huduma hii na hasa wakati huu wa budget. Nikaambiwa natakiwa niombe Tena Kwa njia inaitwa e connect. Nikauliza, naombaje Tena wakati ombi langu ni buck logged kwa muda wa miaka karibu minne sasa? Nikaambiwa hiyo ndo njia. Inauma unapoona umeme unafungwa kwingine kama uyoga huku kwetu tukiambiwa jiongeze, omba Kwa e connect nk.

Hapo nyuna mtu aliwahi kusema kwamba umeme wa Tanzania ni siasa. Mimi nasema umeme wa Tanesco Arusha ni rushwa, rushwa, rushwa tupu.

Lakini kwa kuwa sipendi kupuuza ushauri wa mtu najiandaa labda sasa niende kwa wanasiasa kama mkuu wa mkoa hivi au wilaya kuthibitisha kama kweli umeme ni siasa .

Inakera sana.
Pole sana mkuu
Nione PM nitashughulikia shida yako
Next week umeme utawaka kwako.
 
Ndugu mteja
Tusaidie taarifa zako kwa ajili ya ufuatiliaji zaidi.
Jina
Namba ya simu
Wilaya iliopo Arusha
 
Hii bado haisadii au haitaondoa tatizo. Lengo lake kuandika hapa ni kutaka menejiment ya TANESCO iondoe huu ukiritimba wa kuambiwa jiongeze ndio upatiwe huduma! Mnatakiwa muwe na malengo ya wiki, mwezi na mwaka ya kuwa mtawapatia wananchi wangapi umeme kimkoa na kiwilaya. Na msibague afisa na asiyekuwa afisa kwani wotw ni wahitaji na wanalipa/watalipa gharama stahiki za umeme!
 
Tupo kukusikiliza na kufanyia kazi taarifa zako tafadhali tusaidie namba ya ombi lako la umeme kwa ufatiliaji na hatua zaidi, kuhusu madai ya rushwa tafadhali milango yetu ipo wazi kwa weww kutoa taarifa zenye ushahidi kwetu au TAKUKURU, Tunakuahidi ushirikiano wa dhati kama utatoa ushirikiano wa taarifa kamili

Ahsante
 
Hakika umesema kweli. Maana kutowapa hongo ndio wakanikomoa kulipia beikinwa umeme VIJIJINI.
 
ndugu mteja
bado tunaendelea kukuomba taarifa zako ili tuweze kufuatilia zaidi.
tutashukuru sana kupata taarifa zako
 
Hii bado haisadii au haitaondoa tatizo. Lengo lake kuandika hapa ni kutaka menejiment ya TANESCO iondoe huu ukiritimba wa kuambiwa jiongeze ndio upatiwe huduma! Mnatakiwa muwe na malengo ya wiki, mwezi na mwaka ya kuwa mtawapatia wananchi wangapi umeme kimkoa na kiwilaya. Na msibague afisa na asiyekuwa afisa kwani wotw ni wahitaji na wanalipa/watalipa gharama stahiki za umeme!
Kinacho nisikitisha wananiambia niende Handeni Nikafungue kesi,,Najiuliza kesi ya nini,,,maana niliuliza tu kuwa kama ile umeme vijijini wa Tsh 27,000,,ulifutwa? jibu lilikuwa rahisi ndio umefutwa,au hapana haujafutwa,,,nakama haujafutwa kwanini mimi nimechajiwa Tsh 842,676.70? wangenijibu sababu zake ingetosha.Badala yake wananiambia nikafungue Kesi,,kweli Msemaji wa Tanesco,yuko kitaaluma au kaletwa mtoto wa Mjomba?
 
Back
Top Bottom