TANESCO imeingiza nchini TRANSFOMA yenye uwezo wa MVA 300 sawa na Mw 240

chanzo huo umeme ambao utakuzwa na transfoma hizo ni kipi?
Kama mambo yako hvyo.

Stiglers gorge ni megawatt 2100.

Transfoma moja megawati 240.

Tunaagiza transfoma 10 tunakua na megawatt 2400.

Kwa hali hyo hatuna haja ya kujenga mradi wa stiglers gorge, hizo hela tuwekeze kwenye standard gauge.
 
Kwa ufahamu wangu mimi kazi ya Transformer ni kupooza umeme na sio kuzalisha, labda kama hilo ni Generator!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unavamia fani za watu ila kwa kuwa umesema kwa uelewa wako siyo mbaya. Ila kuanzia leo siyo mbaya ukijua kazi ya transformer ni kutraform voltage level from one form to another. Kwa lugha nyepesi ni kupunguza au kuongeza kiwango ya voltage, kwa lugha ya kitaalam ni kustep up au kustep down. Hizo ndo kazi kuu mbili za transformer kuhusu generator ni somo pana kidogo ila kazi yake nikugenerate au kuzalisha umeme.
 
transfomer increase voltage not to produce voltage
Ukitumia neno increase wengi watachanganyikiwa. Nilipokuwa primary mwalimu wa sayansi alitufundisha kwamba transfoma ziko za aina 2:- transfoma POZO na transfoma CHOCHEO. Pozo inapooza, kwa mfano grid ina volt 240 halafu majumbani unahitajika wa volt 100 basi pozo itafanya kazi hiyo.

Chocheo. Umeme unaposafiri volt kwenye grid hupungua kutokana na kupotea kwenye nyaya. Mpk ukafike Mtwara unakuta grid ina volt 180 badala ya 240 za awali. Chocheo itachochea na kurejelea kwenye volt 240.

Kwahiyo you have a point buddy, but your delivery is what raises many questions from readers
 
Why Transformers Are rated in VA and not Watts
VA is apparent power and WATTS is true power.the former(VA) is the power before deducting the losses occurring in a course of transformation of voltage ( reducing or increasing).such losses are hysteresis losses and eddy currents losses and others.the later (KW),is the true power which actually is the one utilised by the electric appliances.To make it more clear ,suppose you're asked to prepare rice.you will buy a kilograms of rice, wash and the boil it and follow other processes up to the final stage.At the dinning table, if you measure the weight of the rice ready to eat,definitely, it will be less than a kilogram.this will be due to several losses in a course of preparing the rice ,as some quantities will remain in a cooking pan,some rice will drop down accidentally when transferring from cooking pan to hot pot.In this example, one kilogram of rice bought is VA and Watts is the final quantity of rice ready for chewing.refer to energy theorem.ENERGY IS NEITHER CREATED NOR DESTROYED BUT CAN BE TRANSFERRED FROM ONE FORM TO ANOTHER.IT IS WHEN THEN LOSSES OCCURS.HENCE, THE TERMS "APPARENT" and "TRUE" (VA and WATTS) for further electric topic clarification ,contact me free of charge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom