Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,217
- 6,349
Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) imeingiza nchini TRANSFOMA yenye uwezo wa MVA 300 sawa na Mw 240. TRANSFOMA hii itakiongezea uwezo kituo cha Ubungo kutoka MVA 300 hadi 600 sawa na MW 480. View attachment 1007346
Hapa ndipo ninapowashangaa marais wetu waliopita, vilaza Mkapa na Kikwete......walikuwa wanafanya nini jamani?