TANESCO imeingiza nchini TRANSFOMA yenye uwezo wa MVA 300 sawa na Mw 240

Write your reply...kumbe transformer zina manufaa makubwa hivi?,nashangaa awamu ziizopita walikuwa wanahangaika kukodi mitambo Richmond wakati kumbe kuna solution rahisi kama hii ya transformer,MAENDELEO HAYANA CHAMA
 
mleta mada yupo sahihi. kumbuka ubungo kuna substation yenye uwezo wa Mva 300, kwa hiyo kwa ongezeko la transgoma hiyo ya mva 300 maana yake uwezo wa kituo umefika mva 600. what does this mean? maana yake kituo ( Substation) ya ubungo inaweza kupitisha to/fro mpaka mva 600.zaidi ya hapo kitazidiwa na protection devices zitafanya kazi yake
i
 
Mzee baba umetisha sana!! Wewe ndo umeelewa nilichokuwa namaansha

Sent using Jamii Forums mobile app
Waafrika Sisi ni shida, yaani serikali kufanya wajibu wake na kazi waliopewa na pesa za kodi zetu eti tunatoa pongezi na kuona ni msaada au ni hisani toka kwa serikali tena ana anasifiwa raisi. Kwani raisi kazi yake manunuzi?? Na wala Rushwa haitakwisha nchi hii. Ikiwa wajibu inaonekana ni hisani au fadhila.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Transfoma hiyo iliingia hapa nchini mnamo Januari 28, 2019 kwa nia ya kuboresha hali ya upatikanaji wa umeme wa uhakika na kuleta ufanisi katika usambazaji wa umeme katika jiji la Dar es Salaam na Pwani.



Akielezea uwezo wa Transfoma hiyo, Mkuu wa Kituo cha Kupoza na Kusambaza umeme Ubungo, Mhandisi Joseph Msumali amesema Transfoma hiyo ina uwezo wa kusukuma takribani Megawati 240 kutoka kwenye msongo wa kilovoti 220 kuelekea Msongo wa kilovoti 132 kwa ajili ya usambazaji na matumizi ya nishati ya umeme katika Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani.
 
Mbona picha za zamani,kweni wewe kabla ya Shudu si ilikuwa Megawati 4000 ila sasa umeipoza.
 
Back
Top Bottom