harakat
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 2,887
- 1,350
Umeme umekua shida hapa Mianzini Mtaa wa kitimoto unafluctuate mara kwa mara sasa kwa muda wa wiki karibu nne.
Tanesco walifika kama wiki tatu sasa wamejaribu kurekebisha ila tatizo liko palepale.
Hapo nimeamka asubuhi nikakuta usiku hiyo Main Switch imeoungua na kutoa Moshi kama inavyoonekana kwa picha hapo.
Na hizo bulb ni baadhi ya zilizoongua zipo nyingi zimepasuka kwa kuongezeka kwa umeme bila mpangilio.
Wito wetu wakaazi wa huu mtaa tunaomba tatizo lishughulikiwe kabla halijaleta maafa.